Iwekee maneno picha hii

Easymutant

R I P
Jun 3, 2010
2,564
1,129
41036_416547753659_634558659_4813071_1086088_n.jpg
Hii ndo ambulance yao
 
huu ndo utekelezaji wa sera za magamba kwa vitendo, na hawa ndo waliopiga kura kuiweka madarakani
 
Kama ulinichagua kwa kutegemea AMBULANCE iwe Landcruiser...Nakuonesha jinsi gani wananchi wangu walivyo inovative...Wanaweza kutumia hata baiskeli!!
 
Miaka hamsini ya uhuru; kwenye hiyo jamii wanakotoka hao ndiyo wanaonekana kuwa na uwezo wa kujimudu kimaisha, wengi wao hawawezi hata kuijongelea zahanati iliyo karibu.

Linganisha hali hii na ahadi ya Rais kununua bajaji kwa ajili ya kubeba akina mama wajawazito;

kazi ipo na safari bado ndefu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom