iwapo watachukua nchi...... CHADEMA kuendesha nchi kwa maombi

Sala dua na maombezi ni muhimu. hata nchi nyingi zilizoendelea zilianza na Mungu hata kama kwa sasa wamemuacha.
 
Hawa jamaa wakipewa nchi watatundika misalaba katika kila mlango wa ofisi za serikali!
 
Sasa yanini wote tuombe wakati anafahamiana na huyo mtume, si bora huyo mtume afikishe maombi yetu huko juu. Kwani nchi zilizoendelea ziliombewa na nani ? Acheni upumbavu ndugu zangu, maendeleo yetu hayawezi letwa na dua za mashehe wala mapadri. Nchi itajengwa kwa bidii zetu wenyewe na jinsi tunavyo endekeza siasa ndio tunazidi kurudi nyuma.
Dua za mashehe na maombi ya mapadre ni muhimu sana! Mbona wakati Rais wa nchi yetu anapo apishwa kuongoza, kwanini viongozi wa dini wanahusishwa kikamilifu katika kuwaombea viongozi na nchi?
 
mungu huwa hasikilizi maombi ya wenye dhambi! Ikumbukwe chadema watamsimamisha dr slaa agombee tena urais,na dr slaa hana mke ni mzinzi! Kama kweli cdm ina amini maombi basi isisimamishe wagombea wazinzi!
bwana marwa naungana nawewe nchi yetu imelaaniwa kwa sababu mungu hasikilizi wenye dhambi(wazinzi) walioko madarakani(ccm) wote na inaonekana chadema ina mzinzi mmoja(kwa maoni yako) tuungane kwa pamoja ili kuwaondoa wazinzi madarakani kwani tumeshajua ni nani waliofikisha taifa hapa lilipo na hawataki kuacha uzinzi wao.
Mungu alikuwa tayari kuisamehe sodoma na gomora kama kungekuwa na wenye haki watano na chadema wako zaidi ya watano ccm imeonyesha haina mwenye haki hata mmoja.
Dr slaa pekee ndio mnamtuhumu na mkumbuke chadema si chama cha mungu ni chama cha wanadamu wanaomjua na kumwogopa mungu(tofauti na ccm) kwa hiyo kwa mwenye dhambi mmoja cdm itatubu na taifa litabarikiwa na rasilimali za taifa zitawanufaisha wananchi wote na si viongozi na wageni.
Tunaomba ushirikiano.
 
Back
Top Bottom