Swahilian
JF-Expert Member
- Apr 28, 2009
- 591
- 66
Nimetafakari na kuona m/ke ni muhimu kwa m/me! japo nifikiriapo juu ya uchaguzi nnakwazika sana,
kwanza ni wengi wazuri,wastani, wafupi kwa wembamba yaani wote wananivuta,
Japo hawana tofauti lakini kila mmoja na chaguo lake kwa uwezo wake, ni mfano wa magari yaundwayo kila siku ingawa wao hawana vipuri mbadala, ninawaza iwapo wangekuwa na vipuri, nikitamani hips naenda nunua naweka, au sura naweka nyingine, ukarimu basi nenda dukani nanunua, ingekuwa poa! lakini ndo hivyoo waliumbwa binaadamu.......... Tuvumiliane............