Iwapi Ripoti ya Milipuko Kikosi 511 KJ Mbagala

Alamasroad

Member
Jun 5, 2009
44
0
Kweli jamani hivi ripoti mnayo maana mimi binafsi sijapata fulsa kuiona au sikuwa na bahati mwaka sasa unakaribia kweli siamini kama inawezekana katika zama hizi.

Mwenye ripoti hiyo naomba anisaidie ili nami niweze fahamu ni kipi kilijiri na kipi kilijiri.

Ahsante
 
mhh labda wasiliane na waziri na maofisa wa jeshi.ila kumbuka hio ishakuwa usalama wa taifa unaweza ukakamatwa nayo si unaona kulikoni walipoishia kisa kutueleza matatizo ya jeshi letu. e Mola tuokoe na kizazi hiki cha viongozi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom