Ivi zola D naye msanii?

Kokwa kavu

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
220
41
Mi nko zangu pande za external london pub nackia kuna msanii anataka kujitambulisha anaitwa zola D kwel bongo ha2na celebrit
 
C ndo nmeshangaa dj anasema ni msanii nikajiuliza itakua msanii wa ile pub

hahaha! Unajua jamaa yeye anafanya hip hop ngumu.In short ni yule aliyeigiza katika video ya benjamin-my friend na yeye anangoma zake nyingi tu ikiwemo ile ya 'what is goin on'
 
endelea kubashiri unawezapatia kwani jamaa ni msanii mkubwa tena wale wasio kubalika sana lakini anaendelea kwenye game na anaishu zake nyingi tu kwa maelezo zaidi we mgoogle halafu utamjua..
 
ni msanii mkubwa,na wamda mrefu coz nmeanza kumsikia nikiwa form1(sasa nmemalza form6)..
aliwah kua na track inaitwa MOTO WA TIPA..
ILA KIFUP MSHIKAJI HAJUI ANALAZMISHA TU..
 
ni msanii mkubwa,na wamda mrefu coz nmeanza kumsikia nikiwa form1(sasa nmemalza form6)..
aliwah kua na track inaitwa MOTO WA TIPA..
ILA KIFUP MSHIKAJI HAJUI ANALAZMISHA TU..

Kwel analazmisha miaka sita yote hyo hatoki 2
 
ni msanii mkubwa,na wamda mrefu coz nmeanza kumsikia nikiwa form1(sasa nmemalza form6)..
aliwah kua na track inaitwa MOTO WA TIPA..
ILA KIFUP MSHIKAJI HAJUI ANALAZMISHA TU..

Nashukuru kwa kumaliza vizuri. HAJUI, ANALAZIMISHA. Mimi ni mpenzi mkubwa wa muziki wa kizazi kipya na haswa hiphop. Zola D nimewahi kumsikia na ukisema ni msanii mkubwa unakosea kwa sababu hajawahi kuhit, yeye ni underground siku zote. Hawezi kurap ila 'anaforce kingi' tu. Ushauri wa bure, awe baunsa wa wasanii maana anapenda umaarufu!
 
wote mnamjua ni unafiki tu..

Tafuteni ngoma yake mpya inaitwa 'whats going on' mi naona kachana poa.
 
mwanzisha hii thread kakaa kichuki binafsi nawasi wasi nae kama ni mzima au wanam cameron
 
Jina lake nilianza kusikia since 2004 lakini mpaka leo hasikiki kimziki,analazimisha tu
 
Yule kuimba anaforce. alibahatisha ile single ya moto wa tipa. anachojua ni kuvimbisha kifua kwa kunyanyua vuma. anapenda rap lakini kulapu hajui. but jamaa yupo poa sana kwenye ngumi, hua anapanda ulingoni. lakini ile mob yake ya magomeni na manzese itamuharibu kama ataendelea kuendekeza msuba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom