ivi ungekuwa wewe ungefanyaje !

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
938
125
kuna jama alikuwa anamlalamikia dem wake ile mbaya MAMBO YALIKUWA HIVI.
Jamaa: kwanini umeniita nije kwenu wakati we haupo !
Dem: jamani dia si uliniambia siku kukiwa hamna mtu nyumbani ndo nikuite sasa nimekosea nini hun !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom