Ivi tuko wangapi tuliojaza hii faculty kama 1st choice?

kwan vijana ni lazima tusome wote kitu kimoja??? mbona vipo vingi na vitu vingi???
 
hiyo ni browser kama firefox au operamini, yaan ckia fungua my profile hlf click view my selection status hlf click kwny code ya cource zitakuja details

nimejaribu imegoma.
 
MKUU nimeangalia,jumla ya walioply ni 1026,walio eligible ni 894 na walioiweka kama 1st choice ni 122.
 
Yaani TCU ndo mchaguzi mkuu wa kozi nowdays....yaani hata kama mtu unapenda kozi fulani unashindwa kuomba kwa sababu ya idadi wanazoweka....sijui tutaenda wapi?
 
Jamani wakuu mlio omba udahili kwa cas-tcu,wale mlio omba bcom-finance udsm kama 1st choice ebu jitokezeni humu ili tujijue tuko wangapi tulio omba hiyo faculty ili tujue competition itakuaje,maana kama ilivoonyeshwa kwenye guide book ya tcu hyo faculty inachukua watu 80 tu,sasa sie wengine ingawa tumeandikiwa eligible lakin hatujui kama tutabahatika kuchaguliwa!

Usiwe na wasiwasi,kazi ushapata!
 
Back
Top Bottom