Ivi selection za tcu zimefikia hatua gani?

Kuna updates nimezipata,eti kuna baadhi ya vyuo na baadhì ya programs kama bcom,law,political science,public admininistration,BBA,hrm nk zimekosa watu wa kutosha na vile vile kozi kama medicine,BVM,agriculture,engineering na education zimekimbiliwa na watu wengi hvo kuwapa wakati mgumu wakuu wa vyuo husika katika kuwachagua watu wanaowataka,vile vile wanasema watu wengi wamekimbilia kuaply vyuo kama udsm,sua na saut.ndio hayo niliyoyapata,sasa sijui kama yana ukweli.

mmmh mheshimiwa unazidi kupigilia msumari kwenye kidonda..!! Maana Course zangu zote nimetupia pande zile za udzm na Sua xo naona bado mambo hayako muzuka kabisaaa
 
dah iyo inatisha tena kama medicine mwaka huu sijui itakuaje wadau dah coz nikicheki wa2 walioomba medicine kama kcmc hali ni mbaya ni kuomba kwa mungu 2 coz mambo hayaeleweki aisee
 
dah hakuna kukata tamaa mjomba ni kukomaa 2 na kuomba mungu afu mwenye taarifa za hurbert kairuki ebu atupe habari kuhusu data za selection yan walioomba as first choice na walio eligible
 
Nimeomba hii program(NA NILIKUWA ELIGIBLE);
*Bachelor of Education Mathematics(TEKU)
*Capacity-300
*Total applicants applied-335
*Eligible-243
*1st choice-27(pamoja na mimi)
Je,naweza kupata?
bila shaka labda wawe na chuki na wewe.
 
Kuna updates nimezipata,eti kuna baadhi ya vyuo na baadhì ya programs kama bcom,law,political science,public admininistration,BBA,hrm nk zimekosa watu wa kutosha na vile vile kozi kama medicine,BVM,agriculture,engineering na education zimekimbiliwa na watu wengi hvo kuwapa wakati mgumu wakuu wa vyuo husika katika kuwachagua watu wanaowataka,vile vile wanasema watu wengi wamekimbilia kuaply vyuo kama udsm,sua na saut.ndio hayo niliyoyapata,sasa sijui kama yana ukweli.
Watu wamekimbilia mikopo zaidi,hahaha
 
Has any1 noticed admission capacity inashuka day 2 day, lets say ilikua 60 now ni 40 somethng! Has any1?
 
Has any1 noticed admission capacity inashuka day 2 day, lets say ilikua 60 now ni 40 somethng! Has any1?

yeah!hata me nimeona,kuna kozi inaitwa ud041-bcom accounting,admission capacity ilikua 220,sasa hvi ni 218.
 
Tafadhali mtu mwenye update kuhusu eduacation ya chuo cha TUDARCO walioomba wangapi? Plz nipo village!
 
Back
Top Bottom