MFYU
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 505
- 68
hahhaaa umenifurahisha na hii nafikiri manake atadoda?au nimekosea?
Ah....ndo ivo asee,atadoda. Ya ndan ya wiki 2..atakula mawe...
hahhaaa umenifurahisha na hii nafikiri manake atadoda?au nimekosea?
Usimwogopeshe mtoto wa watu Mentor. Acha afike afanye matanuzi na akimaliza hela atatulia na kupiga kitabuWe kwann una wasiwasi hazitakuyosha? Whats ur budget and expected expenses mpaka uone hazitoshi?
Plus maisha ni kujiongeza..ukiona hazitoshi piga mishe mjini hapa usije na jembe akili yako tu. Ila mishe halali maana bw. Polisi atakushughulikia.
Bajeti iko poa. Hebu tujuze hapo kwenye bold: Ni maji gani hayo mkuu.mbona unasurvive fresh tu. RB 1000x2=2000,usafiri shato 600,maji ya kudownload,chai 500,vocha 500 ;total 3600/- STAREHE 1400/- jumla 5000/-
mbona unasurvive fresh tu. RB 1000x2=2000,usafiri shato 600,maji ya kudownload,chai 500,vocha 500 ;total 3600/- STAREHE 1400/- jumla 5000/-
Wakuu,ebu nishaurini kidogo hapa,mimi kikweli ckuapply mkopo kule heslb kutokana na sababu ninazozijua mwenyewe,sasa ishu iko hvi,mshua kanambia atakua ananitumia tsh 150000 kila mwisho wa mwezi kama pesa ya kula na matumizi mengne madogo madogo hapo chuo,naomba mnipe ushauri jaman,ntaweza kweli kusurvive kila mwezi kwa pesa hyo na ukizngatia maisha yenyewe ni ya udsm,maana nackia maisha ya hapo dar sio mchezo?
Ndugu yangu hela ya chumba iko wapi hapa??na kutolea copy madesa??dogo ataishia kula mikate na soda moja siku nzima huyu..we ngoja atumiwe hiyo pocket change aone mjini patakuwaje hapa..plus dingi hana habari na ada hapo..atakuwa anafanya kazi ya kufagia pale kwa mkandara..atajuuuuta!
Yap mkuu, huyu bwana kiboko haki! Nimeipenda hiiYani watu kama nyie ndio nawakubali... we unabidi hata upange budget ya nchi...
Maji ya kudownload
Mkuu kwangu inatosha mbona mimi natumia laki moja tu ila rb mpango mzima na suala la tea kushoto but budget inategemeana na mtu
We kwann una wasiwasi hazitakuyosha? Whats ur budget and expected expenses mpaka uone hazitoshi?
Plus maisha ni kujiongeza..ukiona hazitoshi piga mishe mjini hapa usije na jembe akili yako tu. Ila mishe halali maana bw. Polisi atakushughulikia.
kama vipi usiende chuo maisha sio mpaka uende chuo
Sidhani kama huu ushauri niwakuzingatiwa maana upatapo nafasi kama hiyo na kuichezea utakuja kuijutia mapema mno
Wakuu,ebu nishaurini kidogo hapa,mimi kikweli ckuapply mkopo kule heslb kutokana na sababu ninazozijua mwenyewe,sasa ishu iko hvi,mshua kanambia atakua ananitumia tsh 150000 kila mwisho wa mwezi kama pesa ya kula na matumizi mengne madogo madogo hapo chuo,naomba mnipe ushauri jaman,ntaweza kweli kusurvive kila mwezi kwa pesa hyo na ukizngatia maisha yenyewe ni ya udsm,maana nackia maisha ya hapo dar sio mchezo?
Samahani,ivi angekuwa dada yako ungemshauri ivi?huyu yuko seriouskama unaona haitoshi,pale afrika sana sinza kuna kiwanja kinaitwa ambience,nite fln nenda kajitege unaweza kupata za kuongezea za kukukidhi kimaisha,mbona wanazuoni wengi tu tunawaona pale na tunawabeba ili kuwafadhili,njoo tu