Ivi ni kweli elimu ya vyuo vya ufundi(technical college) ni bora zaidi kuliko A level

Ndugu yangu wanaolia mtaani kuwa hakuna kazi ni watu waliotoka vyuoni....wapo tele mtaani ila aliomaliza VETA au FTC kazi za kumwaga tena bosi anakubembeleza coz anajua wewe ni kichwa!! 2012 Dunia yako Chaguo Lako!!
 
yah hata mimi naamini mwenye degree hamfikii wa veta practically, nilitembelea veta nkaona the way wanavosoma wapo competent sana hawa jamaa,

Hili linathibitishwa na ugunduzi wao post nyingi humu watu wamepost kuhusu vitu vilivyogunduliwa hapa tanzania vyote vinatoka veta, mfano gari la solar na sauti inayovutia samaki kwa wavuvi
 
Jiandae kuwaita Boss hao wenzako wanaokwenda A-level na kukuacha ukienda chuo cha ufundi kuwa fundi mchundo.
 
Back
Top Bottom