Ivi Kwann isiwe sisi?

Naomba tukutane KAWE club kesho kuanzia saa kumi jioni.Hali ikiwa shwari hata mzee mkjj anaweza kuwepo gud day.
 
Wazo zuri, lakini Kawe Club saa 10 jioni kwa wafanyakazi itakuwa ngumu. Wengi ofisi zao ziko mjini na wanatoka kazini saa 11. Sehemu muafaka ya kukutana ni katikati ya mji, au maeneo ya Upanga!

Pendekezo: 1. Post Club aka Brake Point ya Mjini
2. Salender Bridge Club
3. Savanna Lounge - Mafuta House
 
Jamani wazo zuri,lakini mbona limekuja late?
Mngefanya walau tukutane kesho na si leo,tayari wengine tuna program kwa leo,au mwasemaje?
 
eeeeeeh bora salender kwakweli plz nashukuru kupata no za watu wengi basi tujitahidi walau sa 11.30tukutane na wale ambao wangependa kuja plz wani PM no zao
Wazo zuri, lakini Kawe Club saa 10 jioni kwa wafanyakazi itakuwa ngumu. Wengi ofisi zao ziko mjini na wanatoka kazini saa 11. Sehemu muafaka ya kukutana ni katikati ya mji, au maeneo ya Upanga!

Pendekezo: 1. Post Club aka Brake Point ya Mjini
2. Salender Bridge Club
3. Savanna Lounge - Mafuta House
 
watu waliopendekeza leo ni wengi mpz so jitahidi leo ukishindwa basi lkn ulikuwa na moyo huo
Jamani wazo zuri,lakini mbona limekuja late?
Mngefanya walau tukutane kesho na si leo,tayari wengine tuna program kwa leo,au mwasemaje?
 
mm natoka job sa 11 so mafoleni na nn ni mpaka sa 11.30 ntakuwa nimefika sijui wenzangu
Pearl kapendekeza saa 11.30 jioni! Ila majadiliano ya muda bado yako wazi kwa mapendekezo zaidi!
 
mm natoka job sa 11 so mafoleni na nn ni mpaka sa 11.30 ntakuwa nimefika sijui wenzangu

Saa 11.30 jioni ni muda muafaka! Pearl jaribu kuwakumbusha wale waliokwihsa kutumia namba zao za simu kwa kuwatumiua text messages tafadhali!
 
dnt worry will koll zem
Saa 11.30 jioni ni muda muafaka! Pearl jaribu kuwakumbusha wale waliokwihsa kutumia namba zao za simu kwa kuwatumiua text messages tafadhali!
 
jamani my dear si usome hapo juu?yap tunakutana salenda leo 11.30 jioni plz dnt miss

Tunakutana oldtraford
icon10.gif

Nitahakikisha Radical na Katt Williams wanakuja.
 
Kwakeli nimependa sana wazo la kuchangia wahang,lkn kwanini sisi kama wana JF tusikutane leo jioni japo tuanze na mchango wa elfu 5 tu kwa kila mwanachama maana kutoa ni moyo tena ikumbukwe leo ni wao na kesho ni sisi,ni mtazamo wangu tu sijui mna maoni gani wenzangu.

WAJEMENI,

Pearl, Nguli, Geoff, Masaki, Jeni, Xpin, ...na wengine

Hii habari iliishia wapi?, hakuna chochote kilichopatikana, nini mustakabali wake?...
 
ngoswe mpz soma thread iliyoandikwa furai dei utapata majibu ya maswali yoteeeeeeeeeeeee

Back
Top Bottom