Ivi Kwann isiwe sisi?

Duh nimehangaika kinoma kutafuta hiyo (O-pub) hapa BOSTON (USA) sijapapata bado, au mnamaanisha wa ughaibuni wako Xcused kwa jambo hili????.........

Kikao kitaamua ni account namba ipi itumwe kwa watu walio nje ya nchi wenye nia ya kuchangia !! Tuko pamoja!
 
uoga wa nn sasa, kwamba jinc anavyokusoma humu anash2ka tu kukuona...lol, kazi ipo kama ndio hivyo! halafu Masaki mie ctaweza kuhudhuria, nipo mbali laaziz.

Usikonde laaziz, nitakuwakilisha!
 
Kwakeli nimependa sana wazo la kuchangia wahang,lkn kwanini sisi kama wana JF tusikutane leo jioni japo tuanze na mchango wa elfu 5 tu kwa kila mwanachama maana kutoa ni moyo tena ikumbukwe leo ni wao na kesho ni sisi,ni mtazamo wangu tu sijui mna maoni gani wenzangu.

Kuichangia JF ni ishu kubwa ndo ije iwe wahanga?
maprimium wapo wachache sana ,afu hata hao wengi wamechangia 5000/= toka mwaka juzi.
Kama kweli tuna moyo wa kuchanga tuanzie na JF ili iweze kujiendesha kwa ubora zaidi.

YES WE CAN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sura yako si hii hapa tunaifahamu. Sema kingine!


Kumbe mnaficha sura ikifika kwenye michango????Hakuna tabu, hapo pa kukutania ni "Forum" nyingine, unaenda na "username", "password" na pia sura nyingine sio hii ya kwenye JF. Ukishindwa kabisa tuambie jinsi gani utawasilisha mchango wako manake nimnesoma vijisababu kiweta humu ndani, eti wengine wana sema watakuwa kwenye maombi ya wahanga kanisani , wanasafiri, eti hawezi kuingia baa bora iwe mzimbazi centre, mh hawajachangia na wanataka kwanza kuchangia JF, wameshitukizwa, wanahitaji ruksa za waume/ wake zao, huko mbali nk, nk!


Xp/organiser weka hewani utaratibu mbadala wa kuwafikia wale wenye Xcuses za kutotaka kuibua sura kwenye eneo la tukio au wale ambao tutashindwa kuwepo hapo palipokubalika kutokana na sababu za kijiografia na kiuchumi (yaitaji kuvuka ng'ambo na gharama zake ni kubwa kuliko kima cha chini cha kiwango cha mchango unaopendekezwa).
 
Sasa naona tulipatkana serious kwenda ni ss wawili tu je unayo nafasi leo?tunakutana wapi?
mimi yangu si unayo?....
Ingawa pearl nisikufiche kuwa-organise watu ni vigumu sana,
 
Sasa naona tulipatkana serious kwenda ni ss wawili tu je unayo nafasi leo?tunakutana wapi?


Pearl kama nilivyokwambia hii kitu si ya kupanga kwa siku moja, mngechagua siku, muda na mahali itakuwa rahisi zaidi.
 
Ok dear kesho basi

Kesho imekaa vizuri sana kwa kuwa ni FURAHI DAY!! Baada ya kikao cha kuchangai wahanga wa mafuriko, tunaendeleza libeneke na laga kwa kwenda mbele!

Nimesha ku PM namba yangu ya simu! :)
 
Thx nimepata kesho basi will kol al walio ni pm,be blessd
kesho imekaa vizuri sana kwa kuwa ni furahi day!! Baada ya kikao cha kuchangai wahanga wa mafuriko, tunaendeleza libeneke na laga kwa kwenda mbele!

Nimesha ku pm namba yangu ya simu! :)
 
Count Baba_E in .. nita-PM namba yangu kesho PM

have a nice day - nawahi kwenye SEND-OFF ya mtoto wa shangazi wa Mjomba
 
Back
Top Bottom