Ivi Kwann isiwe sisi?

andika jina kule kwenye no then ni PM no yako ya cm plz
Namba za simu unataka tuziweke hapa hadharani au tukutumie kwenye PM? Maana wengine namba zetu za simu zimekaa shaghala bhagala, hazina mvuto......! Yaani ni mchanganyiko wa maharage na mchuzi, sio zile za 0718 200555
 
Mwee mwanakwetu,Majina yenyewe feki,Unafikiri nani ana jeuri ya kutokeza sura kama mtizamo ni huooo?Mbona ni jambo la kufikirika zaidi kuliko utendaji??
 
sasa kijana kama no imekaa vululu vululu shida ipo wapi? anahitaji mawacliano tu....mambo zako lakini.
 
ndio maana tumesema kutoa ni moyo mwenye nia yake ya kweli atakuja tu japo majina ni ya kisanii zaidi
Mwee mwanakwetu,Majina yenyewe feki,Unafikiri nani ana jeuri ya kutokeza sura kama mtizamo ni huooo?Mbona ni jambo la kufikirika zaidi kuliko utendaji??
 
sasa kijana kama no imekaa vululu vululu shida ipo wapi? anahitaji mawacliano tu....mambo zako lakini.

Niko gado Nyamayao, nafurahi kukuona online asubuhi ya leo...umeifanya asubuhi yangu kuwa njema. Hii inaashiria kwamba hata siku yangu itakuwa njema pia! :)
 
Niko gado Nyamayao, nafurahi kukuona online asubuhi ya leo...umeifanya asubuhi yangu kuwa njema. Hii inaashiria kwamba hata siku yangu itakuwa njema pia! :)

mie mwenyewe nimekuona humu mwili ukaccmka, na pia nahic cku yangu itakwenda vizuri japo nina hangover.
 
Babra
user_online.gif

Babra maisha ndivyo yalivyo
JF Premium Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Thu Jan 2009
Location: Njoro
Posts: 1,820
Thanks: 372
Thanked 341 Times in 239 Posts
Rep Power: 24
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Mkakati wako wa kukimbia michango ya harusi hautafanikiwa...............
 
jamani naomba majina ya walio serious kukutana leo na kutoa mchango plz
 
Babra
user_online.gif

Babra maisha ndivyo yalivyo
JF Premium Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Thu Jan 2009
Location: Njoro
Posts: 1,820
Thanks: 372
Thanked 341 Times in 239 Posts
Rep Power: 24
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Mkakati wako wa kukimbia michango ya harusi hautafanikiwa...............

Hahahahahah! Jamani Geoff, yaani unataka kusema kwamba Nyamayao kubadili jina ni mkakati wa kukimbia michango ya harusi? Halafu mimi laazizi wake si nimeshachanga kiasi cha kutosha na tutakuja kama Mr.& Mrs?
 
mie mwenyewe nimekuona humu mwili ukaccmka, na pia nahic cku yangu itakwenda vizuri japo nina hangover.

Duh! Pole sana! Leo jioni tukikutana kwenye harambee ya kuchangia wahanga wa mafuriko, nitakuonyesha kinywaji kisichokuwa na hangover...!!!
 
Kwakeli nimependa sana wazo la kuchangia wahang,lkn kwanini sisi kama wana JF tusikutane leo jioni japo tuanze na mchango wa elfu 5 tu kwa kila mwanachama maana kutoa ni moyo tena ikumbukwe leo ni wao na kesho ni sisi,ni mtazamo wangu tu sijui mna maoni gani wenzangu.

Wazo zuri sana. Ila dadangu kuoganaizi watu hapa si mchezo. Watu wanaogopa kuonyesha sura zao utafikiri mfungwa aliyetoroka jela. Nina uzoefu huo na ugumu wake nimeuona. Ukifanikiwa kupata japo watu kumi, mi ntakuwa wa 11. Cont me in my sisy, niko tayari kuwasaidia watanzania wenzangu.
 
ok basi watu wakikataa nitaenda ME,MYSELF AND I
Wazo zuri sana. Ila dadangu kuoganaizi watu hapa si mchezo. Watu wanaogopa kuonyesha sura zao utafikiri mfungwa aliyetoroka jela. Nina uzoefu huo na ugumu wake nimeuona. Ukifanikiwa kupata japo watu kumi, mi ntakuwa wa 11. Cont me in my sisy, niko tayari kuwasaidia watanzania wenzangu.
 
sasa umesh2ka nini na wewe laaziz?.....utakuja kwenye harambee leo?

Kwenye Harambee nitahudhuria maana nina karama ya utoaji! :) Ila tu Pearl atuhahakikishie VENUE and TIME!

Kaizer tafadhali msaidie Pearl ku-organise hii kitu!
 
Babra
user_online.gif

Babra maisha ndivyo yalivyo
JF Premium Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Thu Jan 2009
Location: Njoro
Posts: 1,820
Thanks: 372
Thanked 341 Times in 239 Posts
Rep Power: 24
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Mkakati wako wa kukimbia michango ya harusi hautafanikiwa
...............

yewomiii...lol....halafu unajua haupo serious eeh, juzi nilikuomba acc no yako naona mpaka sasa kimya...kulikoni?
 
seemni sehem na muda mm ntoka job sa 11 so nafoleni maybe tufanye sa 12 joini wapi sasa?
Kwenye Harambee nitahudhuria maana nina karama ya utoaji! :) Ila tu Pearl atuhahakikishie VENUE and TIME!

Kaizer tafadhali msaidie Pearl ku-organise hii kitu!
 
Back
Top Bottom