Ivi kutongoza huwa wanaanzaje?

Kwetu ma-born again hamna kitu rahisi kama kutongoza maana unamwambia tu "nimepata maono kuwa leo usiku ni lazima tulale wote ili maandiko yatimie". Hadi leo mie nishapata maono ya watu 15.
 
Kwetu ma-born again hamna kitu rahisi kama kutongoza maana unamwambia tu "nimepata maono kuwa leo usiku ni lazima tulale wote ili maandiko yatimie". Hadi leo mie nishapata maono ya watu 15.

hahahahaha! Hii kali.
 
Unamwandikia hivi ktk simu: "n 3^07 ! -- unashangaa! Hebu weka simu juu chini usome tena. Naomba majibu."
 
"Unajua dada,.. Mwenzio kila nikikuona kile kiungo changu kinachopump damu kinafanya nduh nduh nduh nduh!..... Sijui kinakuhitaji kimapenzi. Hata sijui yaani"
 
"Unajua dada,.. Mwenzio kila nikikuona kile kiungo changu kinachopump damu kinafanya nduh nduh nduh nduh!..... Sijui kinakuhitaji kimapenzi. Hata sijui yaani"
mh!!! siamini husninyo, wewe mtu akikwambia hivo uta-tick?
 
si uniangushage sasa ukiona nimenyamaza ujue nimekubali .kule kwetu moshi tunasubiri atoke kwao akiwa njiani tunamteka tunampeleka kwetu halafu wazazi wangu wanapeleka kanga kwao mchezo unakuwa umekwisha .akitoka ndani anakula udongo au maembe mabichi .
 
Back
Top Bottom