Ivi hili huwa ni tatzo kwa wote au ni kwangu tu jaman?

Ok ok ok tumesoma
Hebu tuambie tunakushauri nini
Unajisifu kabisa wa kutafuna na kuacha
Duh kweli JF never boring
 
Wakuu,me cjui huwa nina tatzo gani,yan kila nikiwa naongea na msichana ambae nampenda kwa dhati huwa nakua speechless kabisa,naweza nka mcall kwenye simu afu ncmwambie kitu chochote cha maana,hadi wkt mwngne huwa najishtukia mwenyewe eti,lakin cha kushangaza nikiwa naongea na wasichana wengne ambao najua ninataka kuwatafuna tu then niingie mitini,huwa nakuaga na confidence za ajabu.sasa wakuu,ebu naomben mnishauri,hapa tatzo langu huwa linakua wapi na nifanye nin ili kuondoa hiyo hali?

tumetofautiana kidogo saana kwani mm nikimuona ninayempenda kitu inajenga hema.......
 
Back
Top Bottom