IVI HII NI KWELIII

Wakubupa

Member
Oct 21, 2015
26
9
naomba ushaul ninamke ambeye nampenda kwel hadi yy anajua hilo tunaye kama mwaka na nusu ila hatujabarikiwa mtoto
sk moja nilichukua sm yake ili nikaitengeneze, ila nikakuta sms amei send ikisema [ninamimba yako ile sk tulio kuwa wote umenipatia] nikajawa na jaziba nikaivunja lain yake ya sm, jb nililojibiwa et kwani ukiharibu laini ndo mwisho wa mambo
jaman nipeni ushaul nifanyeje ukwl nampenda sana
 
Nawewe hadi mwanamke anakujibu hivyo na umeridhika basi wewe ndo umeolewa sio yeye kaolewa Kwa mimi no mjadala namkumbusha na makofi kadhaa kwamba mimi ni Mume nimekuoa na kukulipia mahali
 
Back
Top Bottom