Iveco stralis tractor unit 4 by 2

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
2,045
547
Je wewe ni msafirishaji na unahitaji kuboresha biashara yako na gari za kisasa .naagiza magari haya kwa bei nzuri .
IVECO STRALIS ACTIVE SPACE 4 by 2 tractor unit kwa sterling pound 14750 mombasa .scania zipo pia na gari za kijapan kuanzia mwaka 2005 zipo . muda ni mwezi mmoja .wahi sasa kabla stock haijakwisha
 
scania 114C 34 tipper truck bei gani mkuu .. from year 2001
 
Back
Top Bottom