ITV wanaipendelea Yanga?

kussy

JF-Expert Member
Jun 15, 2010
400
121
Yaani Simba imeshinda Taifa lakini hawatangazi! Ikifungwa au kutoa Droo ndo wa kwanza kutangaza. Kwa Yanga mko Mbeeele @#x6F..... Zenu!
 
Yaani Simba imeshinda Taifa lakini hawatangazi! Ikifungwa au kutoa Droo ndo wa kwanza kutangaza. Kwa Yanga mko Mbeeele @#x6F..... Zenu!
Umeona ee! Lakini sio kosa lao mtangazaji mwenyewe anaitwa KANGA,sory, KITENGE unategemea nn? Watake wasitake simba ndio kinara.
 
Tatizo ni Isaac Gamba ana chuki binafsi na Simba,ni mara zote akisoma yeye anaruka makusudi, siyo ITV jamani. Mengi tuondolee Gamba kwenye michezo, Gamba akitaka habari Simba asipewe ushirikiano, Gamba asihudhurie vikao au matamasha yoyote ya Simba, Gamba asifike klabuni Simba, wapenzi wa Simba msikubali kuzungumza au kuhojiwa na Gamba katika mambo yanayohusu Simba. Asikae karibu na sisi hata uwanjani.

Gamba usije kucheza na sisi una mikono michafu. Pita na zako mtaa wa Msimbazi
 
Umeona ee! Lakini sio kosa lao mtangazaji mwenyewe anaitwa KANGA,sory, KITENGE unategemea nn? Watake wasitake simba ndio kinara.
Wameniuzi sana tena Mnyama kapiga mtu 3 Taifa wako kimya! Alafu Yanga na Maafande wa Oljoro uko Arusha eti taarifa wanayo, Ooovyo!
 
Unaumwa homa za msimu wewe.

Una BCBG wewe...!!!"
Hivi watanzania tumefikia ubaguzi huu? Mmh eeeh mungu tusaidie
Kama haikuhusu potezea sio lazima kuchangia
Unaumwa homa za msimu wewe.

Una BCBG wewe...!!!"
Hivi watanzania tumefikia ubaguzi huu? Mmh eeeh mungu tusaidie
Kama haikuhusu potezea sio lazima kuchangia

:biggrin1: msimaindi sana nyie ni watani wetu wa jadi so kutaniana kumo punguzeni hasira mtakufa siku si zenu
 
watanzania bwana! wanachosha. kwani ni lazima kutangaza habari za simba na yanga acheni kasumba ya usimba na uyanga.
 
Back
Top Bottom