Elections 2010 ITV wamtangaza REGIA MTEMA kushinda jimbo KILOMBERO, warekebisha baada ya muda...!

reggia alishasema leo asubuhi kuwa anakwenda mahakamani ss hizo habari za kuwa ameshinda hai itv siji walzipata wapi?
 
Hawa ITV mbona wanababaisha! Au ni kweli hawa jamaa wa nec wametoa ushindi mara mbili!
 
Wamemwibia dada wa watu kura zake halali:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
ITV wasababisha maafa makubwa sana hapa mjini ifakara baada ya kutangaza ushindi kwa CHADEMA
 
Waheshimiwa hii kweli inaonyesha kuwa kuna namna inayoendelea kuhusu matokeo. Inavyoonyesha yanatolewa sivyo kama yalivyohesabiwa kihalali bali inategemea mgombea aliyeshinda na kutangazwa kashindwa anasema nini akiwa ngangari anatangazwa kushinda akiwa legelege anatangazwa kashindwa. Hii maana yake nini? Lakini Hakuna marefu yasiyo na ncha hata ukuta wa Berlin kuna siku uliangushwa! Time will tell!:nono:
 
Michuzi anasema: Ubunge Kilombero - Regia Mtema/CHADEMA
 
Mimi nina hasira kama nini baada ya kuhakikisha kwamba nec inatekeleza maagizo ya ccm, ya kumtangaza mshindi wapendae na hivyo kukanyagia mbali kura zilizopigwa vituoni. Kuhusu dada yetu Reggie bado nipo njia panda sijajua ukweli ni upi.
 
Wavuti inaonyesha kwamba: Ubunge Kilombero - Abdul Mteketa/CCM ndio mshindi...! Jamani tunaomba usahihi wa nani mshindi...!
 
Jameni ombi ni lile lile Kuomba Mungu atusaidie kwenye jambo ili katika kupata haki zetu kwani shetani kasimama imara sana kwa nguvu zetu hatumuwezi, ni sala tu ndio jibu. Ukisoma post hii kaa kimya hapo ulipo na kufanya maombi/ sala kidogo - just a minute
 
du ebwana ee kama ni hivyo hii itakuwa kweli tamu ngoja niconferm na watu wa huko maana hata mimi nilisikia ccm wamechukua huko maana waligoma kutooa matokeo, itakuwa wameshindwa kuchakachua!! ngoja nipande hewani
 
haya jamani zimechakachuliwa huko............., wamepewa CCM hii imethibitishwa na watu wa kirombero REGIA MTEMA anakwenda mahakamani,
hivi hii tume ya Jakaya itatubuluza mpaka lini na mpaka wapi...... jamani !!!!

jamaa wanatufanya sisi wananchi nasauti zetu makondoo au mapunda kokote wanakotaka kutuburuza wanatupeleka tu
 
thanks 2 God almight hat haya ya urais kitaeleweka tu ukweli haukai chumba kimoja na uongo
Chadema big up
 
Back
Top Bottom