Elections 2010 ITV wamtangaza REGIA MTEMA kushinda jimbo KILOMBERO, warekebisha baada ya muda...!

Inauma mno jamani, sielewi hata niiweke wapi roho yangu naona hata haina thamani kwa kuendelea kupokea haya, imagin na haya matokeo ya uraisi wanayoyatangaza, haina tena thamani niko tayari kwa lolote now lets move people inchi hii ni ya watanzania sio mtanzania
 
Regia anasema hata yeye ameshangaa kuona mashabiki wake wakiingia mitaani kusherehea baada ya kupata taarifa kupitia televisheni. Lakini anachojua yeye matokeo yaliyotangazwa leo asubuhi yalionyesha mgombea wa CCM ndiye mshindi. Tangu wakati huo alikuwa anashughulikia petition kwani kulikuwa na wizi wa waziwazi na mkurugenzi alikataa kurudia zoezi la kuhesabu kura. Hivi sasa anafuatilia ili kupata uhakika wa taarifa za televisheni. I will keep you posted.
 
Mwizi karudisha mali aliyoiba kwa mwenyewe kwa hofu ya kukamatwa. Hii huwa inatokea
 
hahahaha unaona wanavyojichanga NEC, wamesahau wakapeleka matokeo ya Ukweli kwenye vyombo vya habari wakayasahau waliyoyachakachua hahahahahahahaha
 
Kati ya ushindi wote wa chadema huu ni mtamu zaidi. Im really proud of her and respect her for her tenacity and incredible resilience. You Go girl!
Very electrifying results, special member of JF won; wapiga soga zisizo na maana mwende kwenye battle ground. so happy
 
Ninashukuru Mungu kwa Dada Mtema kufikia hapo. Umajlie zaidi kdri unavyopendezwa BABA. Amina
 
So Chadema is now ahead of CUF hence the opposition party

Kwani imeshajulikana chama gani cha upinzani kitakuwa na viti vingi? Kuna baadhi ya majimbo kama matatu bado (moja la Arfi wa Chadema) na viti maalum ambavyo vinategemea kura ngapi za urais mgombea wa chama amepata.

Kwa upande mmoja nakubaliana nawe kwamba itakuwa Chadema, lakini nadhani watashirikiana na vyama vingine.
 
haya majizee yamezeeka yanataka kutuharibia nchi yetu mfano huyu makame aende akalee wajukuu anafanya upuuzi mtupu! makame kwanza kabisa unaizalilisha familia yako!
 
ITV kweli washangaza sasa hivi wanapitisha matangazo yanayodai ccm ni kidedea Kilombero kwa matokeo yafuatayo..........

Mteketa..........................43, 459

Regia..............................38, 550
 
Wameniharibia siku yangu... naenda home :A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Wameniharibia siku yangu... naenda home :A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:

Usikimbie mama, mimi namsubiri GS aje aweke mambo sawa binafsi.

Hawa ITV walidai wanapata matokeo yao kwa mawakala wa NEC majimboni, vipi tena jamanii.
 
Usikimbie mama, mimi namsubiri GS aje aweke mambo sawa binafsi.

Hawa ITV walidai wanapata matokeo yao kwa mawakala wa NEC majimboni, vipi tena jamanii.

Muda unavyoenda im getting sick sick... :A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
nafurahi kwa kuwa sasa jamii inazidi kuwakubali wanawake sasa tuangalie next level urais wandugu , kwa kuanzia pm
 
Back
Top Bottom