Elections 2010 ITV wamtangaza REGIA MTEMA kushinda jimbo KILOMBERO, warekebisha baada ya muda...!

jamani mimi ndiye nilituma kuwa CCM, imeshinda kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi ila kwa sasa watu wamejaa hapa kwa chulu wanasema tbc na itv wametangaza kuwa CHADEMA imeshinda kwa hiyo watu wanashanglia balaa,na gari ya mama MTEMA imepita ikipeperusha bendera,ok nitaendelea kuwapa taarifa zaidi kwani nitaelekea kibaoni nipate habari kamili:israel::israel::israel::israel::israel::israel:
 
Kwa mwendo huu tusishangae tukiambiwa kuwa Segerea CHADEMA wamechukua
 
Mpendazoe kimeo, CHADEMA ilikosea kumpa jimbo, Anhesimama Rachel angeshinda, Mpendazoe hafanani na CHADEMA, hawezi hata kuvaa COMBAT
ni kweli... waliopiga kura wengi ni vijana na rachel fits the frame... mpednazoe alimchakachua huyu dada na yeye kachakachuliwa, eniwei tusubiri rufaa
 
jamani CCM WEZI KWELI,siamini kilichotokea shytown;hongera regie walitaka kukunyanganya tonge mdomoni
 
Hii imekaaje jana kulikuwa na taarifa kuwa matokeo yamechachuliwa kwa kuleta form za matokeo kupiku kura zaidi ya 1250 alizokuwa anaongoza.Naomba hii habari wacomfirm akina FDR jr walioko huko.

kaka mi nipo hapa kwa chulu watu wanashangilia wanasema tbc naitv zimetangaza mama kashinda,ila mchana msimamizi alitangaza mteketa kashinda na ccm wanaendelea na nderemo zao,kwa hiyo hata sisi tulioko huku tunasintofahamu
 
MWANAKIJIJI ALISEMA HAKUNA WIZI WA KURA KWA SYSTEM TULIYONAYO,
LAKINI NADHANI LEO AMEPROVE KWA MTU WAKE WA KARIBU KABISA
MWANAKIJIJI HUO NDIO UKWELI WIZI UPo
wizi upo.... kama mfumo uliowekwa wa kudhibiti ungetumika, basi majibu ya nchi nzima yangekua yameshatangazwa jana.... all results are out but delaying tactics and fraud is the reason for the delays you see now
 
Hongera sana mama Regia Mtema kwa kampeni nzuri sana zilizokuwezesha kushinda katika jimbo lako. Kila la heri na baraka kule Bungeni.
 
Sasa nimechanganyikiwa...thread nyingine kule ni matusi tu kwa sababu hii wanabishana Dada Regie hajashinda. Hapa tunaambiwa kashinda na source ya info kwa thread zote ni ITV. Tunaombeni ufafanuzi jamani....ushindi wa Dada Regie means a lot wadau....am sooo confused already with these matokeo things.

Nimpe hongera zake dada yangu na Mungu amuongoze awawakilishe wananchi wa jimbo lake vyema. Am almost shedding tears for her.......
 
sie tuliokuwa hatuna tv tunapata shida kweli.............................jf imechakachuliwa
 
DUH kweli mungu mkubwa, wezi hawana nafasi mbele ya mungu wameshindwaaaa DADA REGGIA HONGERA SANA
 
Ndio kauzu nenda bwana mimi nipo kwa ofici kama cio hivyo ningeenda pale kibaoni nijionee na kupata data kamili uckose kutuhabarisha
 
Back
Top Bottom