Elections 2010 ITV wamtangaza REGIA MTEMA kushinda jimbo KILOMBERO, warekebisha baada ya muda...!

So Chadema is now ahead of CUF hence the opposition party

Jamani naomba wapinzani wote tuwe kitu kimoja, haya mambo ya chama fulani cha upinzani kina wabunge wengi kuliko kingine kitatuharibia nguvu yetu ndani ya bunge.

Mimi binafsi tangu matokeo ya upinzani yaanze kutangazwa nimekuwa nikishangalia sana pale chama chochote cha upinzani kinapoibuka na ushindi. Niliguswa sana na vijana wa Mwananyamala Kisiwani ambao walikesha wanalinda kura za Diwani wao wa CUF zisichakachuriwe! Na alipotangazwa mshindi wakaingia naye mitaani kwa nderemo na vifijo. Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka.

Enzi za ''TANU yajenga nchi'' na ''Chama kushika hatamu'' imekwisha. Wapiga kura wa mwaka huu ni vijana wa miaka waliozaliwa miaka ya 80, wakati wagombea wa ubunge na udiwani ni vijana waliozaliwa miaka ya 70. Mabadiliko ya kifikra yanajidhirisha sasa kutokana na ukweli huu!
 
Mwanakiji... i am full of tears
tears of joy for GS
against all odds, there is God

i wish i could be a writer
to write her story

Mungu ni mkubwa

MWANAKIJIJI ALISEMA HAKUNA WIZI WA KURA KWA SYSTEM TULIYONAYO,
LAKINI NADHANI LEO AMEPROVE KWA MTU WAKE WA KARIBU KABISA
MWANAKIJIJI HUO NDIO UKWELI WIZI UPo
 
Kati ya ushindi wote wa chadema huu ni mtamu zaidi. Im really proud of her and respect her for her tenacity and incredible resilience. You Go girl!

nilikuwa natafuta wapi ningepata mafunzo ya kuji.............. muhanga au kaboma niwalip.. siku moja kama wangempoka ushindi dada yetu.
(chadema is a real frend of my mother land tanzania)
 
kuna thread nyingine kule wanatukanana sana ju ya matokeo ya jimbo hili

mmoja anasema regie ameshinda mwingine anaporomosha matusi..........
 
Kama wamemtangaza basi tuna matatizo makubwa sana na tume ya uchaguzi na hii inaonyesha mchezo mchafu walioufanya na wanastahili kushitakiwa. Ongera mtema.

Tunatakiwa kupinga kwa nguvu zote majambazi wanaochukua haki za wananchi, wamezidi sasa
 
Regia njoo utuambie tena my swetie maana tutatoana macho humu ndani

Atakuwa kachoka sana, kazi ya kulinda kura si mchezo asikwambie mtu. Kama hujuio muulize Mnyika, shati alilopigia kura siku ya J'ili hakupata hata muda wa kwenda kubadilisha mpaka tulipomwona anakabidhiwa hati ya kushinda ubunge pale Loyola....Na hapo ndipo wala vijana wa siku hizi hatukwenda JKT...Je tungekwenda.

CCM waamke sasa....la sivyo litawachwea!
 
Mpendazoe kimeo, CHADEMA ilikosea kumpa jimbo, Anhesimama Rachel angeshinda, Mpendazoe hafanani na CHADEMA, hawezi hata kuvaa COMBAT

hivi kumbe nacho hichi ni kigezo eeh
 
JAMANNI KWA KWELI TUNACHANGANYIKIWA.. MBONA MGOMBEA MWENYEWE ALISEMA YAFUATAYO MIDA YA SAA SABA MCHANA LEO? ... sasa tuamini nini... may be mgombea atuambie toka kinywani kwake tena!!

.....................
Kifupi ni kwamba matokeo yamechakachuliwa.Matokeo halisi yalikuwa Abdu Mteketa-CCM Kura 42,000,Regia Mtema-CHADEMA Kura 43,200 CUF na UPDP Kura zao kwa pamoja hazizidi 3000.Kuna mambo mengi yaliyojitokeza lakini mwisho wa siku msimamizi wa uchaguzi amemtangaza bwana Mteketa kuwa mshindi kwa kura 43459,Mtema kura 38,550,CUF 4469 na UPDP 299.Sijakubali matokeo na sasa ndio tunafanya utaratibu ili kufungua kesi.​

Mgombea Ubunge(CHADEMA) Jimbo la Kilombero-Kilombero For Change(K4C)
 
JAMANNI KWA KWELI TUNACHANGANYIKIWA.. MBONA MGOMBEA MWENYEWE ALISEMA YAFUATAYO MIDA YA SAA SABA MCHANA LEO? ... sasa tuamini nini... may be mgombea atuambie toka kinywani kwake tena!!

.....................
Kifupi ni kwamba matokeo yamechakachuliwa.Matokeo halisi yalikuwa Abdu Mteketa-CCM Kura 42,000,Regia Mtema-CHADEMA Kura 43,200 CUF na UPDP Kura zao kwa pamoja hazizidi 3000.Kuna mambo mengi yaliyojitokeza lakini mwisho wa siku msimamizi wa uchaguzi amemtangaza bwana Mteketa kuwa mshindi kwa kura 43459,Mtema kura 38,550,CUF 4469 na UPDP 299.Sijakubali matokeo na sasa ndio tunafanya utaratibu ili kufungua kesi.​
Mgombea Ubunge(CHADEMA) Jimbo la Kilombero-Kilombero For Change(K4C)
 
Atakuwa kachoka sana, kazi ya kulinda kura si mchezo asikwambie mtu. Kama hujuio muulize Mnyika, shati alilopigia kura siku ya J'ili hakupata hata muda wa kwenda kubadilisha mpaka tulipomwona anakabidhiwa hati ya kushinda ubunge pale Loyola....Na hapo ndipo wala vijana wa siku hizi hatukwenda JKT...Je tungekwenda.

CCM waamke sasa....la sivyo litawachwea!

Du!!!!!!!!1 we acha tu.
 
Back
Top Bottom