ITV wameahirisha mjadala wa Dowans

Jayfour

Senior Member
Feb 20, 2011
114
11
Leo usiku huu itv ilikuwa waendeshe kipindi ambacho kingejadili mambo ya Dowans lkn kupitia taarifa ya habari saa mbili wamefuta kipndi hicho kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao..
Meanwhile kesho BBC swahili itafanya mjadala kuhusu MABOMU YA G/MBOTO.
 
hakuna saababu ya mjadala maana kila kila kitu kinaeleweka! DOWANS ni ya Rostam na Wasanii wengine ndani ya ccm!
 
Back
Top Bottom