ITV usiku huu: Job Ndugai ndani ya nyumba

Status
Not open for further replies.
Hili jamaa kweli bure kabisa duu, sasa yeye si ndo wakutuambia posho zao na mihimili yoote mitatu, yeye anasema wananchi hatujui mwee!
 
Andikeni kasema nini si visentensi vifupi vifupi vya mawazo au maoni yenu lakini bila maneno ya Ndugai. Sasa mnataka wasioangalia Dakika 45 mnataka wachangie nini?
 
Mi ninanchokiona mwizi ni mwizi tuu, ndugai natokea kwenye kundi la wezi na yupo tayari kutetea wezi. hapo ni peoples power tu
 
Hee eeti ntakuwa na wivu kusema wengine wanapataje posho duu hii nchi ina sili nyingi sana. Ndungai anasema watz hatujui tu kuwa kunawatu wanapata zaidi ya laki mbili duu i hate magamba.
 
mshahara wa mbunge ni sawa na wa afsa mdogo pale bandarin au afsa md pale tra
 
Mbona sioni alichosema! Sumaye yuko makini siku hizi sijui kama Ndugaye ataweza kumjibu.
 
Kipindi kimeisha aise!! hata jina la Sumaye alikutajwa! Au kuna part 2?
 
Kipindi kimeisha aise!! hata jina la Sumaye alikutajwa! Au kuna part 2?

Shida yako Rizt ni kuwa huwa unadandia topic. hivi ukiulizwa kuwa unaangalia tv utajibuje? wewe endelea na kunywa dengerua achana na JF!
 
tuache ushabiki kwahil namupa5 ametowa pendekezo iudwe tume kuweka wazi mishahala yote ya watumishi ambao mishahala inatokana na kodi za wa nanchi anasema watu wanapata mishahala mikubwa tofatinikubwa mishahala iwe wazi toka chini hadi juu
 
tazama sasa Naibu spika anahojiwa sijui atamcha nani?

Acheni kawaida ya kukimbilia kuanzisha thread kutoka kwenye TV au Radio halafu hamsemi wahusika wanasema nini. Hivi mnafikiri watu wote wanaangalia au wanasikiliza vipindi hivyo?
Jifunze kwa wanaJf waliowatangulia au kwenye post za mwaka jana mwanzoni na kurudi nyuma.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom