ITV,STAR TV,EATV NA DTV ndani ya STAR TIMES.

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Wanajf,hapa Dar hizo stations zinaonekana leo? maana kwenye kingamuzi changu hazionekani.
 
Nimekawasha kamchina kangu saa sita na ushehe usiku huu na kukuta hizo chaneli zao mpya bila zile za kiswahili(itv, star n.k). Mi niko Marangu.
 
Ina maana TCRA wamekaa kimya tu huku hawa wachina wakiendelea kutufanyia usanii? Kwa mara nyingine, where is TCRA?
 
Station hizi za Kiswahili (Local channels) zilikuwa katika majaribio tu (On Test) hivyo kuondolewa si ajabu kabisa. Nashauri watu wahamie TING, DSTV au hiki king'amuzi cha mengi.
 
Yaani serikali ya ccm balaa matatizo kila uchao. Sasa tcra inatoa macho 2

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom