Itv na uchomaji wa makanisa vs ajali za meli

mmekumbuka kutubu?aliyewalaani ITV hawezi wafutia hiyo laana.Endeleeeni kukufuru ili mkojaze kikombe cha uovu.Mengi alipewa ud wa biblia na masheikh?basi watakuwa wamechnaganyikiwa.
 
acha uongo ww Mtoa mada...itv wamejitahidi sna,kwny habari za saa pia walikuwa wanatangaza!mbona na matatizo nyie wenzetu mkoje?kweli kuishi na nyie ni kazi sn
 
Last edited by a moderator:
Hovyo sijui umeingiaje umu kichwa hakifikirii kabisa na ukifikiri unawaza ujingaujinga tu jitu zima kichwa box mbona mim hizo habar nilizijua kwenye vyombo vya IPP? Na usipende kulinganisha kazi za miguu na mikono swala la ajali si uvunjifu wa aman bali kuchoma kanisa inaweza kuleta madhara makubwa zaidi ya unayojua rudia elmu dunia.hovyo
 
KAULI MBIU YENU SI NDO HII

157755_100003939889615_2017107337_n.jpg


LAWAMA ZA NINI SASA
 
Watu bwana hawa sijui hata kundi lakuwaweka kwani sioni wanapostahili katika jamii ya waungwana mfano wa huyu Mpesapesa sijui katoka baa....!!nakakuta computer iko online??...wewe hata kujiuliza kwamba ITV nichombo huru kinaweza kwenda kinapotaka haujiulizi??kwa nini...usiwaulize Radio imani??kwakutotoa coverage??
 
Last edited by a moderator:
Mnahubiri kuuvunja Muungano. Hamtabaki salama-Mwalimu. Karibu waZanzibar elfu kumi wanakuja Dar na kurudi Znz kwa siku. Halafu Muungano hamuutaki! Kweli?

Kwani muungano ukivunjika utazuia watu kuja bara na wa bara kwenda visiwani? wa tz wangapi wanaenda uk kila kukicha kwani tumeungana nao? tumia akili sio kufata mkumbo usiwe mpumbavu.
 
Back
Top Bottom