Itv na uchomaji wa makanisa vs ajali za meli

Inaonekana ITV lilopokuja swala la Kuchoma makanisa ilivalia njuga na hata kufikia kupotosha watz.
Lkn kuhusu kuzama kwa MV SPICE na tukio hili la sasa ni tofauti kabisa inavyoripoti.
Breaking news ilikuwa kila wakati
Wkati wa tunaarifiwa uchomaji wa makanisa zanzibar. itv ilituma waandishi ndege nzima na Kukaa karibu na kila kanisa.
lkn Linapokua swala la majanga huko Zanzibar. itv Haina hata habari.
AU tuzo ya Udkta wa Biblia aliokabidhiwa Mwenyekiti mtendaji ?
Kweli? Uliiangalia ITV taarifa ya habari ya jana saa2 usiku?
 
Inaonekana ITV lilopokuja swala la Kuchoma makanisa ilivalia njuga na hata kufikia kupotosha watz.
Lkn kuhusu kuzama kwa MV SPICE na tukio hili la sasa ni tofauti kabisa inavyoripoti.
Breaking news ilikuwa kila wakati
Wkati wa tunaarifiwa uchomaji wa makanisa zanzibar. itv ilituma waandishi ndege nzima na Kukaa karibu na kila kanisa.
lkn Linapokua swala la majanga huko Zanzibar. itv Haina hata habari.
AU tuzo ya Udkta wa Biblia aliokabidhiwa Mwenyekiti mtendaji ?

Acha unafiki, sasa pale kisiwa cha Chumbe wewe au wawakilishi wako walikuwa wapi?
Na hivi TVZ au Radio Zanzibar wamesaidia vipi?

Watu mliozoea kubebwa taabu tupu, hamshuki migongoni mwa watu?
 
Kwani ITV ni suala la Muungano ?.

Ha ha haaaaaaa! Wewe naona umeamua kuua kabisaaaaa!
Tena kweli bana, Wazenji hawachelewi kunung'unika na kudai kuwa hawapati mgawo wa kodi na mapato kutoka ITV. Bora hivi hivi muwe mnawakumbusha mara kwa mara mambo ya muungano. Wao wanafikiria kugawana zaidi kuliko kuzalisha.
 
Usiende mbali mkuu...bado kidogo wataanza kusema kwenye ajira mengi kawapendelea wabara hakuna mzanzibari au ni wachache....dah... hivi vichwa acha kabisa...
 
Inaonekana ITV lilopokuja swala la Kuchoma makanisa ilivalia njuga na hata kufikia kupotosha watz.
Lkn kuhusu kuzama kwa MV SPICE na tukio hili la sasa ni tofauti kabisa inavyoripoti.
Breaking news ilikuwa kila wakati
Wkati wa tunaarifiwa uchomaji wa makanisa zanzibar. itv ilituma waandishi ndege nzima na Kukaa karibu na kila kanisa.
lkn Linapokua swala la majanga huko Zanzibar. itv Haina hata habari.
AU tuzo ya Udkta wa Biblia aliokabidhiwa Mwenyekiti mtendaji ?

Uamsho at work!Kwani Zanzibar hakuna vyombo vya habari?Kwani kuna ulazima gani wa kuangalia ITV kama haikidhi mahitaji yako ya habari?Kwani ITV ni televisheni ya taifa mbaka utake usawa?
 
​nenda kawasiliana na zomba na wanuamsho wenzako
inaonekana itv lilopokuja swala la kuchoma makanisa ilivalia njuga na hata kufikia kupotosha watz.
Lkn kuhusu kuzama kwa mv spice na tukio hili la sasa ni tofauti kabisa inavyoripoti.
Breaking news ilikuwa kila wakati
wkati wa tunaarifiwa uchomaji wa makanisa zanzibar. Itv ilituma waandishi ndege nzima na kukaa karibu na kila kanisa.
Lkn linapokua swala la majanga huko zanzibar. Itv haina hata habari.
Au tuzo ya udkta wa biblia aliokabidhiwa mwenyekiti mtendaji ?
 
Inaonekana ITV lilopokuja swala la Kuchoma makanisa ilivalia njuga na hata kufikia kupotosha watz.
Lkn kuhusu kuzama kwa MV SPICE na tukio hili la sasa ni tofauti kabisa inavyoripoti.
Breaking news ilikuwa kila wakati
Wkati wa tunaarifiwa uchomaji wa makanisa zanzibar. itv ilituma waandishi ndege nzima na Kukaa karibu na kila kanisa.
lkn Linapokua swala la majanga huko Zanzibar. itv Haina hata habari.
AU tuzo ya Udkta wa Biblia aliokabidhiwa Mwenyekiti mtendaji ?

Yalipochomwa makanisa uliripoti?Au mkuki kwa nguruwe?unajua hii ni ajali,lkn kuchoma makanisa lilikuwa tukio la kudhamiria kabisa.
 
wewe bado unaangalia TV za ITV mimi mwenzio siku hizi siangalii kabisa TV najisomea gazeti la UHURU kila kukicha kuna habari nyingi za uchonganishi na kubomoa maadili ya kitanzania mimi ndiyo chombo changu cha habari,taarifa zake mwiba kwa wapinzani
 
Inaonekana ITV lilopokuja swala la Kuchoma makanisa ilivalia njuga na hata kufikia kupotosha watz.
Lkn kuhusu kuzama kwa MV SPICE na tukio hili la sasa ni tofauti kabisa inavyoripoti.
Breaking news ilikuwa kila wakati
Wkati wa tunaarifiwa uchomaji wa makanisa zanzibar. itv ilituma waandishi ndege nzima na Kukaa karibu na kila kanisa.
lkn Linapokua swala la majanga huko Zanzibar. itv Haina hata habari.
AU tuzo ya Udkta wa Biblia aliokabidhiwa Mwenyekiti mtendaji ?

kuwa muwazi tu ndugu, unaendekeza udini wako kwa kutafuta kumsema mkristo Mengi!
 
Acha chuki za ajabu wewe ITV wamejitahidi sana na bado wanajitahidi we kama hauridhiki angalia TBC,uone wanavyotangaz madudu hadi wanakera! wasalimie Uamsho!
 
Inaonekana ITV lilopokuja swala la Kuchoma makanisa ilivalia njuga na hata kufikia kupotosha watz.
Lkn kuhusu kuzama kwa MV SPICE na tukio hili la sasa ni tofauti kabisa inavyoripoti.
Breaking news ilikuwa kila wakati
Wkati wa tunaarifiwa uchomaji wa makanisa zanzibar. itv ilituma waandishi ndege nzima na Kukaa karibu na kila kanisa.
lkn Linapokua swala la majanga huko Zanzibar. itv Haina hata habari.
AU tuzo ya Udkta wa Biblia aliokabidhiwa Mwenyekiti mtendaji ?

Kwahiyo unataka kusema nini? Mjinga sana wewe inaonyesha unafikiria kutumia makario sio mzima wewe. Ongea vitu vinavyoleta maana sawa?
 
Inaonekana ITV lilopokuja swala la Kuchoma makanisa ilivalia njuga na hata kufikia kupotosha watz.
Lkn kuhusu kuzama kwa MV SPICE na tukio hili la sasa ni tofauti kabisa inavyoripoti.
Breaking news ilikuwa kila wakati
Wkati wa tunaarifiwa uchomaji wa makanisa zanzibar. itv ilituma waandishi ndege nzima na Kukaa karibu na kila kanisa.
lkn Linapokua swala la majanga huko Zanzibar. itv Haina hata habari.
AU tuzo ya Udkta wa Biblia aliokabidhiwa Mwenyekiti mtendaji ?

mkuu mbona hii mada imekaa kishabiki sana?kumbuka bado tupo kwenye kipindi kigumu kinaitaji sana kuvumiliana siwakati wakumfunga paka kengere.
 
Back
Top Bottom