ITV na TBC acheni unafiki wa kisiasa kwa kuipendelea CCM Arumeru Mashariki

landiis

Member
Jan 30, 2012
8
2
Vyombo vya habari vya ITV na TBC zimekuwa zikiwakwaza watazamaji wake kwa kuegemea upande wa chama tawala katika kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru mashariki kwa kuonyesha kuwa ccm ina watu wengi katika kampeni zake. Lengo ni kuvuwavunja wananchi moyo hata wasijitokeze kupiga kura ili ccm hata wakiiba ionekane ni sawa kama walivyofanya igunga. Ni aibu ITV kuonyesha kuwa mgombea wa CDM hana watu katika kampeni zake, lakini kwa kuwa ni ya mchaga wameshachukua kitu kidogo toka chukua chako mapema. CHADEMA KUWENI MACHO NA KAMPENI ZENU KUPITIA LUNINGA MNAHUJUMIWA.
 
Ukweli utajidhihirisha tu! Hata wakitumia vyombo vya habari ushindi kama upo upo tu.
 
cha muhimu ni mgombea kunadi sera hiyo wingi wa watu kwenye mikutano, kwani wengine hufika kusikiliza tu.
 
Back
Top Bottom