Losambo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 2,612
- 864
Vibonzo au kwa lugha nyingine vikatuni hutumika mara nyingi kutoa ujumbe mbali mbali katika jamii yetu ikiwemo kuelimsha, kuonya, kufurahisha n.k
Katika muda wa siku mbili yaani Jumatatu na Jumanne niliona kibonzo cha Nathan Mpangala kisha nikashindwa kuelewa hasa alikusudia nini? Ni Simba na Yanga kweli?
Tatizo la lugha hapo yaani wanakuamuana mnaionaje?