ITV mmetuudhi sana watazamaji habari saa 2 Leo jioni

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,182
2,304
ITV ndiyo nilikuwa naitegemea kuonyesha hitimisho la kampeni za uchaguzi wa Arumeru na nikawa nimejiandaa mbele ya screen yangu kama kawaida. Cha ajabu nikasikia na hapa ndo mwisho wa taarifa za kitaifa na hawakugusia kabisa habari za Arumeru ni kwenye subtitle tu wameandika .
ITV imeacha kabisa kuonyesha kitu ambacho waTZ wengi walikuwa wanangojea kukiona kwa hamu kubwa na kwa hivyo mmetuudhi sana na huu ninauita ukatili au unyanyasaji wa watazamaji.

Kwa nini siku zote mmetangaza taarifa habri za Arumeru lakini leo siku ambayo ni nyeti sana mkaacha maksudi kutupa watazamaji tuone hitimisho la kampeni why?.

Au mmebanwa na magamba mkajidai kuwa neutral kutoonyesha habari zote. Hamjui mmewakatili sana waTZ kwani hakuna mtu asiyejua ikiwa ni pamoja na ninyi kuwa hii ni news muhimu kwani uchaguzi huu unafuatiliwa na waTZ wengi na mikoa yoote.
Eleweni mnajimaliza na ninaomba itokee TV nyingine ili kumaliza huu ukiritimba ambao hauna maana yoyote wala maslahi kwa Watz
 
"WATANZANIA WANATAKA MABADILIKO. WASIPOYAONA, WASIPOYAPATA NDANI YA CCM WAYATAFUTA NJE YA CCM!" (Baba wa Taifa siku aliyompiga chini JK Mr Clean akapeta pale Chimwaga)
 
"WATANZANIA WANATAKA MABADILIKO. WASIPOYAONA, WASIPOYAPATA NDANI YA CCM WAYATAFUTA NJE YA CCM!" (Baba wa Taifa siku alipompiga chini JK na Mr Clean akapeta pale Chimwaga)
 
itaku leo Afrosalo alikua wikendi amesahau kurekodi matukio.
 
Kwakweli mmekosa mengi sana wananchi wenzangu kwani pale katika viwanja vya Patandi eneo la TENGERU CHADEMA walifunga kampeni zao, uwanja ulikua mdogo watu walikaa hadi mashambani ok naamini UKOMBOZI haupo mbali sana tuvute subira kidogo tu. But ungeangali star TV walirusha japo sio kwa sanaaaa ok leo ndio siku wakichakachua lazima panuke mtasikia ndio tunaenda kumchagua mbunge wetu JOSHUA NASARI
 
Binafsi jana mbona hayakuwa sawa. Kuna bias sana. Labda baadae kwenye matukio ya wiki.
 
Bifu lake na Ngoyai amelihamishia kwa Siyoi?!, ameamua ku-side na kundi la Chiligati pamoja na mwenyekiti wake waliopigana kufa kuhakikisha Mkwe wa Lowasa hapitishwi kugombea ubunge but wameru wakaumbua.
Hata Dr. Mengi jamani?
 
Waungwa tusubiri tv ya ukweli mwananchi tv chini ya mpiganaji tido mhando iko njiani inakuja


itv ndiyo nilikuwa naitegemea kuonyesha hitimisho la kampeni za uchaguzi wa arumeru na nikawa nimejiandaa mbele ya screen yangu kama kawaida. Cha ajabu nikasikia na hapa ndo mwisho wa taarifa za kitaifa na hawakugusia kabisa habari za arumeru ni kwenye subtitle tu wameandika .
Itv imeacha kabisa kuonyesha kitu ambacho watz wengi walikuwa wanangojea kukiona kwa hamu kubwa na kwa hivyo mmetuudhi sana na huu ninauita ukatili au unyanyasaji wa watazamaji.

Kwa nini siku zote mmetangaza taarifa habri za arumeru lakini leo siku ambayo ni nyeti sana mkaacha maksudi kutupa watazamaji tuone hitimisho la kampeni why?.

Au mmebanwa na magamba mkajidai kuwa neutral kutoonyesha habari zote. Hamjui mmewakatili sana watz kwani hakuna mtu asiyejua ikiwa ni pamoja na ninyi kuwa hii ni news muhimu kwani uchaguzi huu unafuatiliwa na watz wengi na mikoa yoote.
Eleweni mnajimaliza na ninaomba itokee tv nyingine ili kumaliza huu ukiritimba ambao hauna maana yoyote wala maslahi kwa watz
 
Kama umeudhika umechukua hatua gani?
Pole kwa maudhi uliyopata.
Mwisho wa Kampeni ilikuwa saa ngapi?
 
Back
Top Bottom