ITV mmenihuzunisha. . .

sembo

JF-Expert Member
May 25, 2011
4,350
3,451
Leo ktk taarifa ya habari ya sa 2 usiku, walichukua dk. takribani 5 kuonesha mazishi ya Baba yake Erick Shigongo, maswali nayojiulza ni kuwa, Huyu mzee alikuwa maarufu kiasi cha kupewa airtime mda wote huo?

Au ndo kwa sababu Mh. Mengi alihudhuria?
 
Leo ktk taarifa ya habari ya sa 2 usiku, walichukua dk. takribani 5 kuonesha mazishi ya Baba yake Erick Shigongo, maswali nayojiulza ni kuwa,
Huyu mzee alikuwa maarufu kiasi cha kupewa airtime mda wote huo?
Au ndo kwa sababu Mh. Mengi alihudhuria?

Mkuu umesahau kuwa Mengi ana mwandishi wa habari wa kwake peke yake ambaye ana monitor nini anafanya kwa siku na kuleta habari IPP media.

Hapo issue si umashuhuri wa Baba yake Erick Shigongo, issue ni Mengi kafanya nini leo
 
Mkuu umesahau kuwa Mengi ana mwandishi wa habari wa kwake peke yake ambaye ana monitor nini anafanya kwa siku na kuleta habari IPP media. Hapo issue si umashuhuri wa Baba yake Erick Shigongo, issue ni Mengi kafanya nini leo

Msilalamike sana. Jiulizeni na Nyie kama Mngekuwa wamiliki wa I.T.V mngetaka kupewa Dak ngapi kwa kila Mnachokifanya??
 
Kwahiyo msiba wa mtu maarufu ndio unapaswa kuonyeshwa kwa dk tano si ndio? Ebu tuache ukoloni, kwani kuonyesha msiba wa mtu asiyefahamika ni vibaya?
 
Sasa tatizo liko wapi hapo?. kwenye taarifa hiyo Mbona mie nimepata habari ya maandamano na mkutano wa Chadema wa pale moro iliyodumu kwa dakika 7.
 
Change the channel!!
Wa Tz bana yani tumezoea kulalalmika kwa kila kitu!!
 
Basi na wewe unapenda kuhuzunika sana yaani kitu kidogo tu hicho unahudhunika hio sio TV ya Taifa mtu wangu!! Pengine Shigongo ametoa pesa ya airtime!!!:eek2:
 
Uo ni utoto kulalamikia kila kitu. na usitegemee kuwa utafurahishwa na kila kitu unachokiona, au kila kitu unachokipenda na wengine wanakipenda.
 
Mi sijahuzunishwa,na ilo tukio bt nimehuzunishwa na aliyetangulia mbele ya haki.Lakni,kama mimi ningekuwa mtoa mada ningeileta ktk logic hii;BABAKE James,alikuwa nani mpaka,Mamia, vigogo baadhi,makada wa nyinyiem hata Waziri haudhulie Lile tukio?

Nawapongeza VIONGOZ wa Parokia wa sehemu husika,wamemtuma Katekista.ingawa ametema cheche!Rip Mareh.
 
Mi sijahuzunishwa,na ilo tukio bt nimehuzunishwa na aliyetangulia mbele ya haki.Lakni,kama mimi ningekuwa mtoa mada ningeileta ktk logic hii;BABAKE James,alikuwa nani mpaka,Mamia, vigogo baadhi,makada wa nyinyiem hata Waziri haudhulie Lile tukio?Nawapongeza VIONGOZ wa Parokia wa sehemu husika,wamemtuma Katekista.ingawa ametema cheche!Rip Mareh.

Watu hawaendi kwenye msiba kwa sababu ya marehemu, watu wanaenda kutokana na jina la mfiwa.

Hiyo ndiyo jamii ya siku hizi. Ndio maana mgonjwa hata ndizi hapelekewi lakini akifa jeneza linameremeta, watu wanachanga ili waonekane wametoa!
 
Leo ktk taarifa ya habari ya sa 2 usiku, walichukua dk. takribani 5 kuonesha mazishi ya Baba yake Erick Shigongo, maswali nayojiulza ni kuwa,
>Huyu mzee alikuwa maarufu kiasi cha kupewa airtime mda wote huo?
>Au ndo kwa sababu Mh. Mengi alihudhuria?

Majibu mbona unayo
 
Nini itv ? Huku moro kuna chanel inaitwa abood tv hiyo ni balaa . Mmiliki wake hata akienda kununu ndizi sokoni wanaonyesha nusu saa
 
Kwahiyo msiba wa mtu maarufu ndio unapaswa kuonyeshwa kwa dk tano si ndio? Ebu tuache ukoloni, kwani kuonyesha msiba wa mtu asiyefahamika ni vibaya?

umeshaambiwa ITV ni ya kwake, na angeweza kutumia hata dk 10 usimfanye chochote.Kama hukutaka si ungebadilisha channel? au TV yako inadaka ITV pekee???.
 
Leo ktk taarifa ya habari ya sa 2 usiku, walichukua dk. takribani 5 kuonesha mazishi ya Baba yake Erick Shigongo, maswali nayojiulza ni kuwa,
>Huyu mzee alikuwa maarufu kiasi cha kupewa airtime mda wote huo?
>Au ndo kwa sababu Mh. Mengi alihudhuria?

kwenye bold, siyo Mh Mengi, ni Dokta Mengi.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom