ITV: Malecela, Sumaye, Warioba, Lowassa... Wakizungumzia vitambulisho vya taifa

Lakini pia ningependa hao Wazuri waulizwe maswali magumu; sio wawe wanabembea na Magari ya kifahari tu kivulini

Unajua hawalijui JUA LA DAR-ES-SALAAM lilivyo kali toka 1985 Nyerere alipostaafu; wao ni kuku kwa Mrija na kucheki

Accounts zinavyoongezeka USWISI; we must hold them accountable some how...

mbona wengine wamekondeana tu kama warioba, malecela.. Ni wa kawaida
 
mbona wengine wamekondeana tu kama warioba, malecela.. Ni wa kawaida

Malecela Amekondeana? Unakumbuka alipata triple heart bypass? kama asingekuwa na Mwili angeishia Mbali...

Na hakwenda INDIA HOSPITALI zenye PILIPILI yeye alienda LONDON halafu Mapumziko sio Dar kwenye JOTO; NEW YORK

Then WASHINGTON DC; Sasa wakati wa JK Nyerere unadhani angetoka MUHIMBILI??

Yeye, Ndie wa kwanza kupata hizo pesa za NCHI nakumbuka WAIRAN walikuwa wanataka maeneo ya ardhi ya kulima

vyakula vya kwao... wako BONDE la MTO RUFIJI... ALIPATA $$$ Sana... Wairan wanatoa hawana CHIEF ACCOUNTANT

* Warioba - yeye pekee ndio aliyeachwa Nyuma... Ndio Wamemhurumia Wamempa KATIBA na MARUPURUPU JUU

YAANI HADI WANAE alikuwa anagombea Government Scholarship Wizarani enzi hizo HIGHER EDUCATION...
 
Back
Top Bottom