ITV: Malecela, Sumaye, Warioba, Lowassa... Wakizungumzia vitambulisho vya taifa

Jul 24, 2012
81
6
Muda huu.. Wanaelezea umuhimu wa vitambulisho vya taifa na sheria yake.. Na ushauri wao.. Na mhe, lowasa yupo
 
warioba anasema tujue kuwa tunaandikisha kwa maanufaa yetu.. Tusiwe na wasiwasi.. Katika kutoa taarifa
 
Mkuu umeangalia vizuri? hao walihojiwa kwa muda tofauti wakiwa maeneo tofauti hawajakusanyika, na vinarudiwa karibu kila siku,Ni mfulizo wa vipindi vilivyorekodiwa na NIDA juu ya vitambulisho vya taifa na hata mlimani tv wamerusha kipindi Mbowe na Mukama wakitoa maoni yao juu ya vitambulisho vya taifa.
 
Muda huu.. Wanaelezea umuhimu wa vitambulisho vya taifa na sheria yake.. Na ushauri wao.. Na mhe, lowasa yupo

Kwanini wasiongelee issue inayotaka kuliua taifa letu UFISADI hasa wa UMEME; labda wao pia wana 10%

Kwanini REAL JOURNALISTS wasiulize swali hilo pia? Achana na Vitambulisho - we are in a doldrums
 
sumaye anasema uzalendo wa muhim, anasema wageni waish kwa utaratibu na sheria zinazokubalika na watapewa vitambulisho spesho
 
lowasa anasdma kuwa mzalendo anafaa kupewa uraia.. Na uzalendo unahtaji kuvumiliana kujitolea na kuelimishana
 
malecela anatoa wito kuhmiza serikali zetu za vijij kuandikisha wazelendo.. Tusibaguane kwa itikad za vyama
 
lowasa anasema kitambulisho cha taifa ni haki zetu watanzania.. Kwa io tuwe confident enough kudai haki yetu ya msingi.. Ametoa mfano wa baba mwenye chakula kingi haiwezekani akawapa majiran wakat wanae hawajala.. Kwaio wanaanza wazawa na wagen baadae
 
Kwanini wasiongelee issue inayotaka kuliua taifa letu UFISADI hasa wa UMEME; labda wao pia wana 10%

Kwanini REAL JOURNALISTS wasiulize swali hilo pia? Achana na Vitambulisho - we are in a doldrums

, umeme sospeter atatuwezesha na ata deal nao papendikula mafisad
 
hicho kipindi j2 kilikuwa kinarushwa tbc. hizo ni siasa uchwara. kwanini wasitafute watu wa vyama vyote? hazo vitambulisho ni vya ccm?. siku si nyingi hiyo cd itapelekwa cha 10, startv na c2c. tusubili tuone. Mia
 
, umeme sospeter atatuwezesha na ata deal nao papendikula mafisad

Lakini pia ningependa hao Wazuri waulizwe maswali magumu; sio wawe wanabembea na Magari ya kifahari tu kivulini

Unajua hawalijui JUA LA DAR-ES-SALAAM lilivyo kali toka 1985 Nyerere alipostaafu; wao ni kuku kwa Mrija na kucheki

Accounts zinavyoongezeka USWISI; we must hold them accountable some how...
 
hicho kipindi j2 kilikuwa kinarushwa tbc. hizo ni siasa uchwara. kwanini wasitafute watu wa vyama vyote? hazo vitambulisho ni vya ccm?. siku si nyingi hiyo cd itapelekwa cha 10, startv na c2c. tusubili tuone. Mia

.. Wameamua kuchukua mawaziri wakuu wastaafu mkuu
 
Back
Top Bottom