ITV LIVE: mada..kitambaa cha taifa je kiwe cha aina gani.?

mwanachuo apendekeza, batiki,kanga na kitenge na mchanganyiko wa shanga kunogesha.
 
mwingine pamba arejea uvaaji wa mababu zetu..mugorole pia kuna abudant of pamba
 
viwanda vyalalamikiwa lakini kuhusu makabila kuhusiswa..eti wengine ni waamiaji..kama wangoni hivyo mchango wao si muhimu kwenye vazi la taifa.
 
hivi changamoto muhimu zote zimeisha hapa Tanzania, mpaka tunaingia kwenye mchakato wa kutafuta vazi la Taifa? hatuna kitu cha kufanya? maji yapo? barabara zipo? shule je? hospital? madawa na huduma za afya? umasikini uliokithiri? wote wanaojihusisha na upuuzi huu ni wapumbavu!!!!!
 
kuna upotezaji wa muda lakini hatuna budi kuzunguka nalo ili gurudumu
 
twende mbele na kurudi nyuma...hivi miaka hamsini ya uhuru leo tunachoma pesa kutafuta vazi la taifa?? hatuna history??
katika ulimwengu huu wa utandawazi na familia za kichotara zenye mila na desturi tofauti naona kama hilo vazi litaishia museum.
je kitu cha asili unaweza kukibuni baadae na sio kukikuta na kukirithi?
 
Kama wanasikia huko, gwanda la CHADEMA linatosha sana tena litaitambulisha vema nchi yetu kuwa ya watu wasiotaka mzaha, kazi-kazi!

Hebu baelezeeni!
 
huu mdahalo umenifumbua macho..VAZI AU KITAMBAA CHA TAIFA HAKIWEZI KUPATIKANA NI KICHWA CHA MWENDAWAZIMU NYINGINE.naomba mninukuu.
 
Mjadala wa kijinga tuna shida na changamoto nyingi!! Ningefurahi iwapo watajadili kwanini umeme umepanda zaidi ya 40%
 
hicho kitambaa kitasaidia upatikanaji wa katiba mpya?

Au kitaongeza madawa hospitalini?

Na madawati mashuleni?

Kitaboresha mazingira ya walimu na watumishi wa umma?

Au kitasaidia kushusha thamani ya $?
 
Mambo ya mzaha mzaha ndio clouds wamo , ujinga mtupu ,lini watakaa kuunda structure ya bishara ya burudani na michezo angai itaboresha vipato vya wenye vipaji?
 
Kama wanasikia huko, gwanda la CHADEMA linatosha sana tena litaitambulisha vema nchi yetu kuwa ya watu wasiotaka mzaha, kazi-kazi!

Hebu baelezeeni!

bhaeleze habho.
Gwanda linatosha kabisa, sema wanaona aibu tu kulitangaza...
 
Back
Top Bottom