ITV kuomba radhi kwa kuonyesha habari ya Mama aliyenyangwanya Mtoto wake ni haki?

Huyu mtoto mama yake yupo na hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na daktari kua huyu mama hawezi kumnyonyesha mwana.
Pia huyu dada alimlea mwanae miezi mi4 na bado ana nia na anataka kumlea mwanae.
Kwanini anyonyeshwe na shangazi.

mother was proved to be mentally ill. lengo na dhamira ya kwanza ya mahakama ni kulinda usalama wa mtoto, na hiyo ndiyo haki ya kwanza ya mtoto, usalama kwanza na mengine yanafuata.
no emotions attached.
 
wapo watoto wengi sana ambao wanazaliwa tu na wazazi wao wanafariki, wanakua bila kujua maziwa ya mama ni nini na wanakuwa na afya nzuri kiakili na kimwili. hata hivyo, huyo mtoto ananyonyeshwa na shangazi yake kama ulikuwa hujui.
Hii story inanisikitisha hata na wewe ponjoro hivi huyo shangazi ni wa kihindi? hawa wahindi wananyonyeshaga kweli unataka mtoto wa huyo Dada awe taahira mapema? unajua wahindi wakifika miaka 20 wameshazeeka
Samahani hii story sijaifahamu vizuri km kweli, mtoto ni wa Mama na hajafikisha miaka 2 apewe mtoto wake km hivyo kweli acheni kina Mtikila wawite MAGOBACHOLI hawa wahindi ndio wabaguzi kabisa na wamelemaa kuolewa na wanawake wa kihindi na sio wao kuao.
Sheria inasema mtoto ni mtanzania na abaki vivyo hivyo ITV teteeni acheni woga, iko siku kweli tutaingia mitaani kwa hilo wala sio fare
 
mother was proved to be mentally ill. lengo na dhamira ya kwanza ya mahakama ni kulinda usalama wa mtoto, na hiyo ndiyo haki ya kwanza ya mtoto, usalama kwanza na mengine yanafuata.
no emotions attached.
alindwe na nani? kwani huyo Mzazi hana Mama mpaka umpelekee Ponjoro? je msichana akisema sijazaa na huyo jamaa wao wanaproof gani hata majibu ya DNA hayachukui siku moja, Hakimu kaonea na ni mla rushwa lazima kuna kitu hatukijui hapo ngoja tufuatlie usikute hatujui story maana hamtaki kuieleza bayana ila Mahakama ni kuona Wahindi wanaweza lea watoto wa waafrika kwa sababu wao ni maMentaly (half-minded wa Mirembe)
 
wapo watoto wengi sana ambao wanazaliwa tu na wazazi wao wanafariki, wanakua bila kujua maziwa ya mama ni nini na wanakuwa na afya nzuri kiakili na kimwili. hata hivyo, huyo mtoto ananyonyeshwa na shangazi yake kama ulikuwa hujui.
Itnojec wewe ni mshenzi Kabisa tena nahisi ww ndiye baba mtoto unawezaje kusifia mtoto alelewe na shanghai yake Hali mama Yale you hai? Je wewe Mbona mama yako akumchia shanghai yako akunyonyeshe? Umesahau Kuwa upendo wa mtoto kwa mama yake sehemu Kubwa in ktk kunyonyeshe. Kama uliona shangazi yake ni bora kuliko mama yake kwanini ukumlala ukazaa naye pumbavu nyama ya mbafu... Wabaguzi wakubwa Nyie nendeni kwenu India kwanini mnangania tz Nyie ndio mmetufikisha hapa tulipo Leo na rushwa Zenu si wapendi msheenziiiiiii
 
hii story inanisikitisha hata na wewe ponjoro hivi huyo shangazi ni wa kihindi? Hawa wahindi wananyonyeshaga kweli unataka mtoto wa huyo dada awe taahira mapema? Unajua wahindi wakifika miaka 20 wameshazeeka
samahani hii story sijaifahamu vizuri km kweli, mtoto ni wa mama na hajafikisha miaka 2 apewe mtoto wake km hivyo kweli acheni kina mtikila wawite magobacholi hawa wahindi ndio wabaguzi kabisa na wamelemaa kuolewa na wanawake wa kihindi na sio wao kuao.
Sheria inasema mtoto ni mtanzania na abaki vivyo hivyo itv teteeni acheni woga, iko siku kweli tutaingia mitaani kwa hilo wala sio fare

all i see is racism
 
itnojec wewe ni mshenzi kabisa tena nahisi ww ndiye baba mtoto unawezaje kusifia mtoto alelewe na shanghai yake hali mama yale you hai? Je wewe mbona mama yako akumchia shanghai yako akunyonyeshe? Umesahau kuwa upendo wa mtoto kwa mama yake sehemu kubwa in ktk kunyonyeshe. Kama uliona shangazi yake ni bora kuliko mama yake kwanini ukumlala ukazaa naye pumbavu nyama ya mbafu... Wabaguzi wakubwa nyie nendeni kwenu india kwanini mnangania tz nyie ndio mmetufikisha hapa tulipo leo na rushwa zenu si wapendi msheenziiiiiii

kuna watu mnapoteza haki zenu mahakamani kwa sababu ya kuropoka kama wewe, sijui umekunywa maji ya mtaroni? Ungejua kama mimi mzaramo wa goba wala usingesema.
Pumbavu huna point, umeshashiba uji kachune mirungi utafune ukimaliza subiri daku uvimbiwe.
Yana unaropoka kama mento, kilaza mkubwa.
 
Kama mzaramo usingeteta hujinga mzaramo gani hanyonyeshi farakabisa yawezekana pia ni mfanyakazi kwa mhindi unatumiwa ushapew vihela unachangia ujinga nyamanfu weee nenda ngomani unajipya mdundiko huo
 
kama mzaramo usingeteta hujinga mzaramo gani hanyonyeshi farakabisa yawezekana pia ni mfanyakazi kwa mhindi unatumiwa ushapew vihela unachangia ujinga nyamanfu weee nenda ngomani unajipya mdundiko huo
kipato changu cha mwezi ni sawa na chako cha miaka mitatu...sihitaji kupewa vihela kusema ninachowaza. Usiku mwema.
 
Nimebahatika kupata dondoo fulani kutoka ndani ya nyumba ya Bibi aliyeteka mtoto kuhusu nini hasa kimejiri ?
kwa ufupi huyu binti ameolewa na sio chizi,ila mara nyingi tabia ya kihindi ni kuwa mwanamke akiolewa basi lazima huyu mke akae kwa mama mkwe,
huyu mama mwenye mtoto sio mhindi ni chotara kwa lugha nyengine na hakuwa tayari kuishi na mumewe kwa wake zake,
alimshawishi mumewe watafute nyumba yao na wakae kwao ili mapenzi yakolee bila ya kuingiliwa na mipasho ya mama mkwe.
sasa inasemekana walihama na wakakaa kwao ndani ya nyumba yao , hili halikuwapendeza familia ya mume kwani walidhani mtoto wao "anaendeshwa"
kutokana na hali hii huyu mwanamke inasemekana akawa hamtaki tena yule mume wa kihindi lakini jamaa alikua ameoza kwa mapenzi ,
ugomvi ukazidi na yule mwanamke akaumua kuondoka na mtoto ..ndio mwisho wa haya kuambiwa ni chizi wakamchukua mtoto
wahindi wanaogopa huyo mtoto kulelewa na mama yake na baadae kuja kudai mali kupitia mama yake
hivyo zengwe likapikwa ...akafanywa kichaaa
 
mother was proved to be mentally ill. lengo na dhamira ya kwanza ya mahakama ni kulinda usalama wa mtoto, na hiyo ndiyo haki ya kwanza ya mtoto, usalama kwanza na mengine yanafuata.
no emotions attached.

Nimebahatika kupata dondoo fulani kutoka ndani ya nyumba ya Bibi aliyeteka mtoto kuhusu nini hasa kimejiri ?
kwa ufupi huyu binti ameolewa na sio chizi,ila mara nyingi tabia ya kihindi ni kuwa mwanamke akiolewa basi lazima huyu mke akae kwa mama mkwe,
huyu mama mwenye mtoto sio mhindi ni chotara kwa lugha nyengine na hakuwa tayari kuishi na mumewe kwa wake zake,
alimshawishi mumewe watafute nyumba yao na wakae kwao ili mapenzi yakolee bila ya kuingiliwa na mipasho ya mama mkwe.
sasa inasemekana walihama na wakakaa kwao ndani ya nyumba yao , hili halikuwapendeza familia ya mume kwani walidhani mtoto wao "anaendeshwa"
kutokana na hali hii huyu mwanamke inasemekana akawa hamtaki tena yule mume wa kihindi lakini jamaa alikua ameoza kwa mapenzi ,
ugomvi ukazidi na yule mwanamke akaumua kuondoka na mtoto ..ndio mwisho wa haya kuambiwa ni chizi wakamchukua mtoto
wahindi wanaogopa huyo mtoto kulelewa na mama yake na baadae kuja kudai mali kupitia mama yake
hivyo zengwe likapikwa ...akafanywa kichaaa

Sasa napata picha kuwa Hapa kuna mkono wa mtu ambao unanuka RUSHWA.

Si bure kuna jambo kubwa limejificha hapa katika hii hukumu iliyotolewa.

:spy::spy::spy:

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom