ITV - Kipima joto: Watanzania kuwa watu wa kulalamika kila jambo je nini kifanyike?

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,903
32,312
Wanabodi.
Mada ya Kipima joto leo ITV wageni ni Dr Kitilio Mkumbo.
 
Hii mada according to Magamba watasema imekaa kiuchochezi. Masako anasema watu wanalalamika tuuuuu... Huyu mtangazaji si aseme tu kwamba tuache kulalamika tuingie mtaaani...
 
kweli watanzania wanachoshwa na nidhamu ya kulalamika bila kuchukua hatua. ila mambo yanapikwa jikoni kunaprogram inaitwa coming soon 2015 hahahahah kauli mbiu piga chini
 
Watoa mada wamejipanga hata huyu dada wa mtandao wa jinsia anashusha vitu si mchezo.watanzania hata akikanyagwa na mkubwa huanza na samahani umeweka mguu wako juu yangu badala ya kusema umenikanyaga!
 
Wana JF wenzangu, saa hizi huwa naangalia This Week in Perspective on TBC-1 ila leo nimeboreka hivyo nimetune ITV kipindi ni Kipima Joto, nimemuona mwana JF mwenzetu, Dr. Kitila Mkumbo ndani ya nyumba, tumsikilize akijadili mada ya " Watanzania na kulalamika"!.

Dr. Kitila kesama " No gain without pain!". " No sweet without sweat",
Watanzania tuendelee kulalamika kwa kujenga hoja.
Tuwaunge mkono watu wanaopigania maslahi yao.
Mafanikio yanapatikana kwa kufanya kazi kwa bidii. Hakuna njia ya mkato. Hata posho za wabunge ni njia ya mkato ya ujanja ujanja!.
Kipindi kimemalizika
Asanteni na kwaherini!.
 
Dr. mkumbo yupo itv kwenye kipima joto itv akijadili mada ya leo iitwayo watz wamekuwa watu wa kulalamika.

Moja ya point yake amesema wasomi wamekuwa sehemu kubwa ya matatizo ya watz kwa sababu wakishapata maendeleo binafsi kama kuwa na gari mfano wa escudo na kiwanja tegeta,wanasahau majukumu yao ndani ya jami.

my take. divide and rule policy.wasomi wetu wameshindwa kuondoa mfumo huu maana wakishafikia ngaji ya juu ya maendeleo binafsi wanasahau kabisa jamii na ustawi wake
 
hao ambao ni tatizo siyo wasomi kwa maana halisi ya usomi! huwezi kuwa msomi ukawa tatizo kiasi hicho
 
Wana JF wenzangu, saa hizi huwa naangalia This Week in Perspective on TBC-1 ila leo nimeboreka hivyo nimetune ITV kipindi ni Kipima Joto, nimemuona mwana JF mwenzetu, Dr. Kitila Mkumbo ndani ya nyumba, tumsikilize akijadili mada ya " Watanzania na kulalamika"!.

Watch ITV live!.
Asante mkuu,najua Kitila si mwoga atashusha nondo mpaka wakome!
 
Hapa Bongo kuanzia Rais na....wengi ni vihiyo, wanadesa hata kwenye speech ya kuongea na vitoto
 
Wana JF wenzangu, saa hizi huwa naangalia This Week in Perspective on TBC-1 ila leo nimeboreka hivyo nimetune ITV kipindi ni Kipima Joto, nimemuona mwana JF mwenzetu, Dr. Kitila Mkumbo ndani ya nyumba, tumsikilize akijadili mada ya " Watanzania na kulalamika"!.

Watch ITV live!.

Tatizo kubwa kwa nchi hii sasa hivi ni huu bunge letu ambalo badala ya kuchangia kusukuma maendeleo ya nchi , limekuwa kikwazo hamna kitu wanachofanya hadi Rais wetu Jk aingilie kati hii ni aibu
 
Dr. Kitila kesama " No gain without pain!". " No sweet without sweat",
Watanzania tuendelee kulalamika kwa kujenga hoja.
Tuwaunge mkono watu wanaopigania maslahi yao.
Mafanikio yanapatikana kwa kufanya kazi kwa bidii. Hakuna njia ya mkato. Hata posho za wabunge ni njia ya mkato ya ujanja ujanja!.
Kipindi kimemalizika
Asanteni na kwaherini!.
 
Dr. Kitila kesama " No gain without pain!". " No sweet without sweat",
Watanzania tuendelee kulalamika kwa kujenga hoja.
Tuwaunge mkono watu wanaopigania maslahi yao.
Mafanikio yanapatikana kwa kufanya kazi kwa bidii. Hakuna njia ya mkato. Hata posho za wabunge ni njia ya mkato ya ujanja ujanja!.
Kipindi kimemalizika
Asanteni na kwaherini!.
Mheshimiwa Rais usikubali kupitisha hizo posho za wabunge kwa maana hakuna wanachokusaidia zaidi ya kukuangusha
 
Dr. mkumbo yupo itv kwenye kipima joto itv akijadili mada ya leo iitwayo watz wamekuwa watu wa kulalamika.

Moja ya point yake amesema wasomi wamekuwa sehemu kubwa ya matatizo ya watz kwa sababu wakishapata maendeleo binafsi kama kuwa na gari mfano wa escudo na kiwanja tegeta,wanasahau majukumu yao ndani ya jami.

my take. divide and rule policy.wasomi wetu wameshindwa kuondoa mfumo huu maana wakishafikia ngaji ya juu ya maendeleo binafsi wanasahau kabisa jamii na ustawi wake

Je, wewe unawajibika kwa jamii?
 
Back
Top Bottom