ITV imepigwa stop kurusha harakati za CHADEMA?

Sir M.D.Andrew

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
201
37
Kwa siku nyingi ITV ilijitwalia sifa ya kuwa chombo pekee kisichokuwa na udanganyifu ktk utoaji wa habari,habari nyingi za uhakika tumekuwa tukizipata ITV.

Ni chombo pekee ambacho kilikuwa ni tegemeo kubwa kwa watu wapenda mabadiliko kote nchini kujua hali ya kisiasa maeneo mengine,wamekuwa wakirusha habari za kisias bila kupendelea chama kama ilivyo kwa shirika la uongo tanzania TBC ambao kazi yao imekuwa ni kueneza na kuwajaza ujinga wananchi kwa kupindisha ukweli na uhalisia wa mambo, wamekuwa wakieneza ilani ya CCM hadharani na kutokurusha habari za upande wa pili mfano mkutano wa CCM JANGWANI, kwa muda sasa kasi ya ITV kurusha habari za CHADEMA imekwisha mfano M4C inaendelea hatupati taarifa tofauti na mtandaoni na magazeti,kinyume chake ITV inajikita kueleza mambo ya kujiandikisha DAR.

Na safari ya mkiti wa CCM kugawa ng'ombe kwa wanachama wenzake,,swali ni je siku hizi ITV ni tawi la TBC? Au kuna mkono wa mtu hapa?

Pengine imepigwa stop na serikali sikivu ambayo haijawahi kusikia wananchi wake? ITV mnajishushia hadhi mambo haya waachieni makada waaminifu TBC-UONGO WA UHAKIKA
 
Kuna mkono wa mtu tena mwovu kabisa mwenye kudhoofisha nguvu ya umma,but God will be on our side forever!what goes around always comes around!magamba yatawakuta cku magwanda yakichukua nchi!
 
Kwa siku nyingi ITV ilijitwalia sifa ya kuwa chombo pekee kisichokuwa na udanganyifu ktk utoaji wa habari,habari nyingi za uhakika tumekuwa tukizipata ITV.

Ni chombo pekee ambacho kilikuwa ni tegemeo kubwa kwa watu wapenda mabadiliko kote nchini kujua hali ya kisiasa maeneo mengine,wamekuwa wakirusha habari za kisias bila kupendelea chama kama ilivyo kwa shirika la uongo tanzania TBC ambao kazi yao imekuwa ni kueneza na kuwajaza ujinga wananchi kwa kupindisha ukweli na uhalisia wa mambo, wamekuwa wakieneza ilani ya CCM hadharani na kutokurusha habari za upande wa pili mfano mkutano wa CCM JANGWANI, kwa muda sasa kasi ya ITV kurusha habari za CHADEMA imekwisha mfano M4C inaendelea hatupati taarifa tofauti na mtandaoni na magazeti,kinyume chake ITV inajikita kueleza mambo ya kujiandikisha DAR.

Na safari ya mkiti wa CCM kugawa ng'ombe kwa wanachama wenzake,,swali ni je siku hizi ITV ni tawi la TBC? Au kuna mkono wa mtu hapa?

Pengine imepigwa stop na serikali sikivu ambayo haijawahi kusikia wananchi wake? ITV mnajishushia hadhi mambo haya waachieni makada waaminifu TBC-UONGO WA UHAKIKA

mkuu kichwa cha habari kina nguvu... alafu content ni dhana yako binafsi mi nilikuja mbio nilidhani ni cdm ndio wametoa tamko kumbe ni wewe Sir M.D.Andrew na shati lako ulilovaa hapo
 
Mkuu ITV ni chombo huru wala hawapati ruzuku kutoka serikalini ni chombo cha biashara kwa hiyo hakuna popote ilipoandikwa lazima watangaze habari za Chadema.

Kama una uchungu sana lipia vipindi.
 
Ni ukweli dhahiri kuwa mmiliki wa vyombo vya habari vya IPP aliwaita wahariri wote nyumbani kwake na kuwapatia maagizo aliyopewa na wanaUWT kuwa asitoe habari kama wao wanavyoziita za kuchochea mabadiliko nchini!
Source! Mhariri makini anayetete Unga wake!
 
Kwa siku nyingi ITV ilijitwalia sifa ya kuwa chombo pekee kisichokuwa na udanganyifu ktk utoaji wa habari,habari nyingi za uhakika tumekuwa tukizipata ITV.

Ni chombo pekee ambacho kilikuwa ni tegemeo kubwa kwa watu wapenda mabadiliko kote nchini kujua hali ya kisiasa maeneo mengine,wamekuwa wakirusha habari za kisias bila kupendelea chama kama ilivyo kwa shirika la uongo tanzania TBC ambao kazi yao imekuwa ni kueneza na kuwajaza ujinga wananchi kwa kupindisha ukweli na uhalisia wa mambo, wamekuwa wakieneza ilani ya CCM hadharani na kutokurusha habari za upande wa pili mfano mkutano wa CCM JANGWANI, kwa muda sasa kasi ya ITV kurusha habari za CHADEMA imekwisha mfano M4C inaendelea hatupati taarifa tofauti na mtandaoni na magazeti,kinyume chake ITV inajikita kueleza mambo ya kujiandikisha DAR.

Na safari ya mkiti wa CCM kugawa ng'ombe kwa wanachama wenzake,,swali ni je siku hizi ITV ni tawi la TBC? Au kuna mkono wa mtu hapa?

Pengine imepigwa stop na serikali sikivu ambayo haijawahi kusikia wananchi wake? ITV mnajishushia hadhi mambo haya waachieni makada waaminifu TBC-UONGO WA UHAKIKA

Mbona huwa wanarusha mkuu labda uwaunachelewa hata ya kuahirishwa kwa mkutano wa moro walionyesha.chunguza utabaini
 
Back
Top Bottom