ITV!!!hivi ni kweli kuwa mazishi ya Regia sio habari?

Tsidekenu

Senior Member
May 7, 2009
141
41
yani nimejihimu kusubiri taarifa ya habari ya saa mbili usiku nione mazishi ya regia, mpaka sasa hola, kwa kweli nawashangaa itv!!!!
 
Mie nimechelewa nikajua habari imepita,sijajua media zingine kwan hapa mie napata channel za ipp tu,they r not fair “mie nimeamua ku delete kabisa hii channel nimeboreka sana”
 
tuwe na subira waungwana! leo MEDIA nyingi zimeshindwa kuonyesha hili tukio kutokana na mvua kubwa iliyonyesha ifakara..hivyo ikawawia vigumu waandishi kutuma habari ile kwenye vyombo vyao!
 
yani wameniboa kweli kweli!nafikiri tunahitaji kuanzisha tv ya ukweli isiyofungamana na wanasiasa wowote!
 
tuwe na subira waungwana! leo MEDIA nyingi zimeshindwa kuonyesha hili tukio kutokana na mvua kubwa iliyonyesha ifakara..hivyo ikawawia vigumu waandishi kutuma habari ile kwenye vyombo vyao!

Mkuu inaweza kuwa kweli maana sio ITV tu!
 
Wamechimbwa mkwara wasionyeshe, kwa vile wameona msiba huu ni kama publicity kwa cdm!? na ikizingatiwa watu walivyofurika 'and infact we don't have independent television. Shame on them'.
 
tuwe na subira waungwana! leo MEDIA nyingi zimeshindwa kuonyesha hili tukio kutokana na mvua kubwa iliyonyesha ifakara..hivyo ikawawia vigumu waandishi kutuma habari ile kwenye vyombo vyao!

inamaana TBC wenyewe walikuwa na miamvuri. Manake wamejitapa kuwa walikuwepo pamoja na kunyesha mvua kubwa.
 
hahaaaa,mbea na mnafiki ni nanii yako........... hahaaa,kipele limepata mkunaji??? regia hakuwa mchaga na utaona kama kiti hawatokireplace kwa mchaga mwenzao!

nashauri wampe pacha wake although hatakuwa exactly kama Regia lakini itakuwa faraja kwetu
 
Picha walizoonyesha tbccm sio za leo ni zile za jana usiku wakati msafara uliobeba mwili wa mh.Regia Ukiwasili mjini Ifakara.
 
Back
Top Bottom