Its your chance...

Thanks God ..
umeamka kutoka kwenye ndoto mbaya...

majibu .. Matamu kupita kiasi.
Thread.. Kama vile unatafuta mtu akutongoze ( na wakati mi nimesha kuwahi)

Hahahahah. . . .
Alafu nimejaribu hata sijafanikiwa pamoja na kujigonga kote huko. Sijui ndo umeshaniende kwa mgangaa. . . . .?
 
Nilivyokushikilia mpaka kwenye chupa nimkuweka ...
(atakae kuchukua lazima tena lazima apate APPROVAL kutoka kwangu)
 
Asante Lizzy!
I think you are a special person with a brilliant mind and a kind heart (hidden far far away, but there, nevertheless)
Hahahahah. . . Jamani mbona mwanitupia madongo mpaka nashindwa kuyabeba? Haya bana, ntausogeza karibu kidogo.
 
Hakuna ubaya kama utakua unaipa nafasi ya kusurface mara kwa mara. We be yourself, tunakupenda hivo hivo.
Shida yako ni kwamba unaacha akili yako ifunike hisia zako, as if kua mpole, mkarimu, mvumilivu na mengine ni weakness, and you need to hide it using sarcasms ...
 
Bwoiiiii. . . . .
Kumbe eehhhh?
 
Bwoiiiii. . . . .
Kumbe eehhhh?
Ndio ninavoona kwa kukusoma humu JF... kama ni kweli au uongo unajua mwenyewe.
Kila nikiona unajibu sarcastically najaribu kujiuliza ulihisi nini hadi ujibu hivo na mara kwa mara naona hasira, challenge you don't want to take etc. naweza kua najidanganya sababu sikujui beyond michango yako hapa JF.
Kwa jumla na kwangu mimi, , personality kidogo unayo tuonesha hapa,mi nimeipenda.
 
Hakuna ubaya kama utakua unaipa nafasi ya kusurface mara kwa mara. We be yourself, tunakupenda hivo hivo.
Shida yako ni kwamba unaacha akili yako ifunike hisia zako, as if kua mpole, mkarimu, mvumilivu na mengine ni weakness, and you need to hide it using sarcasms ...

Naomba kuuliza nini tu kilichokufanya useme hiyo sentensi ya mwisho?
 
Nimejibu tayari...
Ndio ninavoona kwa kukusoma humu JF... kama ni kweli au uongo unajua mwenyewe.
Kila nikiona unajibu sarcastically najaribu kujiuliza ulihisi nini hadi ujibu hivo na mara kwa mara naona hasira, challenge you don't want to take etc. naweza kua najidanganya sababu sikujui beyond michango yako hapa JF.
Kwa jumla na kwangu mimi, , personality kidogo unayo tuonesha hapa,mi nimeipenda.
 
Ndio ninavoona kwa kukusoma humu JF... kama ni kweli au uongo unajua mwenyewe.
Kila nikiona unajibu sarcastically najaribu kujiuliza ulihisi nini hadi ujibu hivo na mara kwa mara naona hasira, challenge you don't want to take etc. naweza kua najidanganya sababu sikujui beyond michango yako hapa JF.
Kwa jumla na kwangu mimi, , personality kidogo unayo tuonesha hapa,mi nimeipenda.

Sarcasm. . . HASIRA. . . challenge zinakataliwa. .

Interesting. . .
 
Ndio ninavoona kwa kukusoma humu JF... kama ni kweli au uongo unajua mwenyewe.
Kila nikiona unajibu sarcastically najaribu kujiuliza ulihisi nini hadi ujibu hivo na mara kwa mara naona hasira, challenge you don't want to take etc. naweza kua najidanganya sababu sikujui beyond michango yako hapa JF.
Kwa jumla na kwangu mimi, , personality kidogo unayo tuonesha hapa,mi nimeipenda.

yeah jibu lako tayari lipo hapo juu... (kwenye red)
kuanza kuhisi, kufikiria kuhusu akili ya mwingine inavyofanya kazi ni ulimbukeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom