its too heavy!

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
292
hakimu:"ni sababau gani iliyokufanya,uchukue kiti na kumpigia mmeo kichwani,bila huruma?"
Mtuhumiwa:"meza ilikuwa nzito"
 
ha ha ha kweli mke amemchoka mume wake sana embu mtu ajaribu kumsaidia meza tuone?!
 
kwa maana nyingine meza ingekuwa nyepesi (kunyanyua) asingetumia kiti....ha ha ha ha angemtwisha meza................
 
Back
Top Bottom