Its that time of the year...goodd things comes to those who care

Carmel, good to read from you!

Dar mnafanya delivery hadi maofisi/nyumbani kwa walengwa?

Nimeipenda sana hii idea. Ukinijibu nitakuPM kwa mipango zaidi..!
majumbani tunafika dear na ma ofisini pia..pm tu. karibu
 
Nje ya nchi unatuma?

hopeful siku moja ntafika hadi nje ya nchi...lakini kwa sasa bado...thanks though. Ila kwa mtu ambaye yuko nje anataka tumfanyie delivery hapa dar tunaweza kufanya.
 
Nimeipenda hii,ngoja nimpe shemeji yako hii namba yako ili aninunulie...asante Carmel kwa kutushirikisha vitu vizuri.... tuko pamoja!
 
haya wakaka wa kiafrica,sio kila siku mje na mchele na kapu la samaki kama zawadi,kuna perfume...atiii....carmel na maua mnadeliver au maua ni bonus mtu akinunua zawadi ya perfume?wazo tu..lol
 
haya wakaka wa kiafrica,sio kila siku mje na mchele na kapu la samaki kama zawadi,kuna perfume...atiii....carmel na maua mnadeliver au maua ni bonus mtu akinunua zawadi ya perfume?wazo tu..lol[/QUO

Maua tunadeliver kama tukipewa hiyo order...lakini ni tofauti na package yetu
 
wapendwa,.....nishapokea oda kibao..nawashukuru sana...naendelea kupokea oda za ambao wamechelewa pia,.msiogope bado kuna muda.
 
wapendwa,.....nishapokea oda kibao..nawashukuru sana...naendelea kupokea oda za ambao wamechelewa pia,.msiogope bado kuna muda.

mimi nna hamu ya kukufanyia 'utapeli wa mapenzi' msimu huu Carmel....
sijui unasemaje?lol
 
mimi nna hamu ya kukufanyia 'utapeli wa mapenzi' msimu huu Carmel....
sijui unasemaje?lol
Nashukuru huwa sina interests na mapenzi na mtu yoyote, wa status yoyote zaidi ya mume wangu so sijui utanidakia wapi kwenye sekta hiyo...zero chance. BTW njo umnunulie perfume mwingine yeyote unayeweza kumfanyia utapeli lol
 
Back
Top Bottom