Its officially OVER Erick!

MAMA YYANGU!
Shemeji yangu katika acting MZAHA umewahi kuufanya huu nakupa TROPHY!
Awali nikadhani leo 01 APRIL !
Kumbe sio.
Nikalazimika nireviw CHITCHAT definition labda meanin' imebadilika, nakuta iko vilevile "TALK SOCIALLY WITHOUT EXCHANGIN' TOO MUCH INFORMATION, IT'S A LIGHT TALKS , & NOT HARD TALKS"
baada ya kusema hayo nirudi kwa Erick52 kwamba kwa mtiririko wake wote at Zinduna talk Show yuko nje na umaana wa Chtcht?
Hii naomba uijibu Shem Amy personal, mi sijakuelewa !
Au uniambie na wewe uko kiChtCht kwenye Uzi huu.
 
Otherwise Shem mi n'shakuelewa umeanzisha hii Kamba ili uwajue wachawi wako! Yaani wale (vilafi at works!)
inshot ushawajua endelea Kusosoa Bata na 52!
Mamiy kula supu, na Hubby wako Shem, haachiwi ..... Yeyote bucha.
 
If wishes were horses beggars would ride.........
Btw mhusika mkuu Erick yuko wapi,someone ought to PM him amwambie nyumba inaungua.
 
be strong my inlow,don't be shaken,please i beg u don't do that please!please!

@Ruhazwe nimemvumilia sana.. I cant take it anymore! Nimeamua kumpa greenlight to whatever he's searching for!
 
Otherwise Shem mi n'shakuelewa umeanzisha hii Kamba ili uwajue wachawi wako! Yaani wale (vilafi at works!)
inshot ushawajua endelea Kusosoa Bata na 52!
Mamiy kula supu, na Hubby wako Shem, haachiwi ..... Yeyote bucha.

Shem ndugu yako nimemuacha for real, can u imagine amenitamkia mwenyewe kwamba he had affairs na wanawake kibao.
Najipenda sana..sitaki matatizo kabisa.
Though nampenda but i have to let him go..
 
MAMA YYANGU!
Shemeji yangu katika acting MZAHA umewahi kuufanya huu nakuma TROPHY!
Awali nikadhani leo 01 APRIL !
Kumbe sio.
Nikalazimika nireviw CHITCHAT definition labda meanin' imebadilika, nakuta iko vilevile "TALK SOCIALLY WITHOUT EXCHANGIN' TOO MUCH INFORMATION, IT'S A LIGHT TALKS , & NOT HARD TALKS"
baada ya kusema hayo nirudi kwa Erick52 kwamba kwa mtiririko wake wote at Zinduna talk Show yuko nje na umaana wa Chtcht?
Hii naomba uijibu Shem Amy personal, mi sijakuelewa !
Au uniambie na wewe uko kiChtCht kwenye Uzi huu.

shem nawe mbona ivo.. Kwani tupo jukwaa gani!
 
Jamani Remmy,mwonee huruma Amyner,anachohitaji kwa sasa ni tender love and care.

You are just the perfect shemeji bishanga.. If only ningekusikiliza before!

Remmy upo tayari kupangishwa foleni???
 
Last edited by a moderator:

Mzee nani vile.

mama ninakutafuta leo siku ya pili,ujumba wangu umeota pembe,kifupi umenishinda hapa tayari ninataraka mkono iliyoandikwa kwa markpen,nakusubiri wewe tu ili uidhinishe,hakuna cha harus tena,mwanao ntakufa
 
You are just the perfect shemeji bishanga.. If only ningekusikiliza before!

Remmy upo tayari kupangishwa foleni???

Amyner mbona hivyo? Bishanga ndo walewale MAGUBEGUBE, never listen to him bana! i know him
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom