Its my birthday!! Karibuni tusherehekee

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
2,918
1,233
Ndugu wanajamvi, leo ni siku yangu ya kuzaliwa! ni siku ya kipekee kabisa kwani ni tarehe 25 June,siku ya jumatatu jioni Mama WA-UKENYENGE ndipo alipoweza kunitambulisha hapa duniani. Ahsanteni kwa kuendelea kushirikiana nami katika kubadilishana na kupeana changamoto za hapa na pale huku tukijenga taifa letu kwa pamoja.
Natambua michango ya wanaJamvi ambayo imekuwa ikinipanua fikra zangu katika maeneo mbali mbali yanayoendana na yasiyoendana na fani yangu. Hivyo nashukuru sana!! Nawatakieni siku njema, na karibuni kwenye sherehe zilizofunguliwa rasmi baada tu ya muda wa kazi.
 
happy birthday wa ukenyenge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom