Elections 2010 Its impossible, haiwezekani, nimekataa kabisa aisee!!!!

Paddy

JF-Expert Member
Sep 22, 2010
462
304
Imagine baba yako JK, mjomba wako kinana, shemeji yako makamba na dovutwa ndo anamalizia mahali kwa mdogo wako wa kike?! Utajisikiaje?
 
Mimi nimekataa, familia itayumba sana, tutakosa msimamo
 
mi mgeni, kumbe jf kuna posts wanazifuta!! they watch everything!!!
 
hahahaha PADDY umebomoa ngome hapo.
enewei tumuombee maisha mema rais mstaafu ndugu kikwete.
Ila fikiria charges dhidi ya anayejiita first lady na wanae wa kufikia
 
Back
Top Bottom