Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,767
- Thread starter
- #21
jikoni.. kumwandalia mzee pweza wa nazi
tukaribishane basi bshosti..
jikoni.. kumwandalia mzee pweza wa nazi
Shem si tushatoka mosque tayari mida hii bana!
Kumbe tupo wengi Shem! Hongera zako!
Dunia kwa sana!
Mungu kwa sana! Huo ndo mzima mpango!
Haya wale wa viwanja sasa.......
Kabisaa.. Wapi leo shem? Au nyumbani na mamaaa..?
mhh mxosi waote huo kuna kujigy kweli hapo.!!! Na huo mtambi wa mzee, nadhan unataka kuchafuka tu...
Dah hivi tunaenda wapi leo mama?
Ok love....Choose darling.. Today is your special day..
Kabisaa.. Wapi leo shem? Au nyumbani na mamaaa..?
Hom tu Shem, na hivi hii mipira ya dunia ya kwanza imeanza leo, hom mapeemaa.