it's friday

Swali zuri BAGAH, bt hata nikikutajia 100% hutoujua!
Sa sijui utapenda niutaje tu, pamoja na hivyo?

umeshagoogle majina kibao ya misikiti mikubwa dar...unataka uniumize kichwa!...karibu kwa MAMA KAMCHE baadae...tule GAMBEEE... Judgement
 
Last edited by a moderator:
umeshagoogle majina kibao ya misikiti mikubwa dar...unataka uniumize kichwa!...karibu kwa MAMA KAMCHE baadae...tule GAMBEEE... Judgement

jaman BAGAH usinikumbushe kwa mama KAMCHE. Nimepamiss kweli. . . .
 
Last edited by a moderator:
rahaaaaaaa iliyojeeee....
Acha nipike nyama ya foil, viazi na salad....leo siku ya kutoka vitambi na hubby

baadae nitashusha amarulaaa.....

Then kujigyjigy....... Hakuna kutoka leo......
 
rahaaaaaaa iliyojeeee....
Acha nipike nyama ya foil, viazi na salad....leo siku ya kutoka vitambi na hubby

baadae nitashusha amarulaaa.....

Then kujigyjigy....... Hakuna kutoka leo......

mhh mxosi waote huo kuna kujigy kweli hapo.!!! Na huo mtambi wa mzee, nadhan unataka kuchafuka tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom