Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,257
- 105,375
kwa ufupi, nitafanya kitu wakati naona nahitaji na naweza afford, lakini sitakaa nimwombe mme anifanyie kitu sababu ya kuhofia nyumba ndogo inafanyiwa the same.
Nadhani mke anatakiwa kujiamini, thats is inferiority at its peak.
Nyumba ndogo? In my map? Hell NNOOOOOO!
Totally fresh perspective. Kutegemea wanaume ndio wawe na role ya kupeleka mke vacation ni sexist na reverse chauvinism kama sio sexual opportunism borderling on culturally accepted prostitution.
I am not about to start a gender war, lakini katika miaka hii ya wanawake kudai usawa, two income homes and women graduating more than men, and even earning more, inakuwaje kazi ya kumpeleka mtu vacation iwe ya mwanamme?
I mean kama ndiyo makubaliano ndani ya nyumba kutokana na traditions held dear by both it can even be said to be romantic, but why the imposition?