Kowero Fredy
Member
- Apr 30, 2011
- 33
- 2
Nimeshakutana na watu wazima wengi,nimesikiliza viongoz wa dini mbal mbal wengi wanadai kuwa aliyelilogo taifa letu na kuwa maskini jinsi tulivyo ni Hayati nyerere.Naomba mnisaidie kwa yeyote anayefahamu kuhusiana na ili.na Atueleze