Items from dubai !

saq

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
268
12
Wakuu wa JF !

Nataka kuanza biashara za kuleta vitu kutoka DUBAI au Nchi zingine, alafu niwa uzeye wa bongo !
Do you think its paying ?
WHAT PRODUCTS do you suggest ?
Mobile Phones au ?

Kama una capital ya kutosha safirisha vifaa vya ujenzi kutoka Dubai! Si lazima vyote ....unaweza ku specialise kwenye bidhaa moja. Mfano. Vitasa vya milangoni, Tiles tu, ceiling boards nzuri, au vifaa vya bomba tu!

Wakuu wa JF !

Nataka kuanza biashara za kuleta vitu kutoka DUBAI au Nchi zingine, alafu niwa uzeye wa bongo !

Do you think its paying ?

WHAT PRODUCTS do you suggest ?

Mobile Phones au ?

mfanyabiashara ndo anatakiwa afanye survey on what to produce,how to produce,where to produce n how ssa ukija hapa jf kila mmoja atakushauri lake..................hbu fata huo ushauri haraka saana

Nguo za akina mama na watoto, nasikia zinalipa sana...

Nilishawahi kufanya biashara ya vifaa vya ujenzi, nilikuwa nanunua kariakoo lakini nauza nje kidogo ya dar ....profit margin yake ni ya ukweli! Sasa wanaosafiri ndo wanapata margin kubwa sana.

Bwana mpesa kweli nimekukubali kaka ulichomshauri exactly

Kaka biashara ya malaya inalipa sana bongo, tafuta nyumba kisha watafute kinadada wazuri waweke humo utaona

Umewahi ifanya? Au unamshauri mwenzio kitu unachokisikia tu? Utafiti unaonesha Illegal businesses nyingi huwa zinalipa kwa muda mfupi sana, but risky yake inaweza kukuondoa duniani na pesa ulizokuwa unatafuta ukaziacha. Simshauri ndugu yangu Saq ajitumbukize humu.

Kaka biashara ya malaya inalipa sana bongo, tafuta nyumba kisha watafute kinadada wazuri waweke humo utaona

asanteni sana for all ur suggestion !
LAKINI, ntka ni anze biashara yangu kuleta kwenye HAND LUGAGE (hand bag)... So plz unishauri ni anze kivipi !

Kaka biashara ya malaya inalipa sana bongo, tafuta nyumba kisha watafute kinadada wazuri waweke humo utaona
kiongozi Yutong sijakupata vizuri katika hii bussnss,una maana nao unawaimport kutoka Dubai na Europe?....kama ndivyo maana yako unamshauri mkuu saq awe P.I.M.P sio?

kiongozi Yutong sijakupata vizuri katika hii bussnss,una maana nao unawaimport kutoka Dubai na Europe?....kama ndivyo maana yako unamshauri mkuu saq awe P.I.M.P sio?

kutoka china! Wachina ndo wanafaa katka hiyo business!, c unajua akina yutong watu wa wapi?

Kama biashara yako ni ya kutia kwenye mikoba hebu nenda Sokonife ukasheki mikufu ya kina dada inauswa bei rahisi na unaweza kubeba hata kilo 20 nzima kwenye mkoba inalipa fanya uchunguzi nilsha wahi kufkiri hii kitu mana mikufu ya kijinga bongo watoto wazuri wanpigiswa sana
asanteni sana for all ur suggestion !
LAKINI, ntka ni anze biashara yangu kuleta kwenye HAND LUGAGE (hand bag)... So plz unishauri ni anze kivipi !

umewahi ifanya? Au unamshauri mwenzio kitu unachokisikia tu? Utafiti unaonesha illegal businesses nyingi huwa zinalipa kwa muda mfupi sana, but risky yake inaweza kukuondoa duniani na pesa ulizokuwa unatafuta ukaziacha. Simshauri ndugu yangu saq ajitumbukize humu.

alex masawe

Wazo zuri japo sijui una mtaji kiasi gani..ata vifaa vya simu(sio simu)ni biz nzuri kama ni biashara ya begini maana havina uzito wawezaweka mzigo mkubwa sana kwenye sanduku..kumbuka biz ya kusafiri nje ni nzuri lakini watakiwa kujua hoteli gani za bei rahisi ili ufikie..na maduka gani ni ya bei rahisi..hii biz pia ni nzuri(phone accessories)

Hata ukileta tools za kufanyia kazi kwa urahisi pia nzuri au generators,soler panels kwa vijijini n.k

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom