Italy wameunda serikali mawaziri wote 16 ni wana taaluma

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,508
6,146
hivi hawa wanawezaje?natazama tv hapa pm wa italy kaunda serikali yenye mawaziri wote 16 wanataaluma hakuna mwanasiasa hata mmoja...hapa kwetu tunahangaika na midubwana kama akina wassira...ahghhhhh
 
hivi hawa wanawezaje?natazama tv hapa pm wa italy kaunda serikali yenye mawaziri wote 16 wanataaluma hakuna mwanasiasa hata mmoja...hapa kwetu tunahangaika na midubwana kama akina wassira...ahghhhhh

serikali yetu kuuuubwa hadi sokwe mtu naye kabuniwa wizara yake aongoze!
 
hii serikali yetu sio ya wana siasa wala nini.hii ni serikali ya kishikaji.mia
 
yaani hii nchi inaongozwa na kikundi cha wahuni wachache wanaamua wafanye nini as if nchi ni ya kwao wao tu, wanaamua wanalotaka sasa WASSIRA ana kazi gani pale
 
Selikali inayo jitegemie ,wabunge waio mawaziri,wala hawapo katika bodi aina yoyote hiyo,ndio nzuri maana hakutakuwa na kuoneana aibu katika utendaji wa kazi siku zote,kulio serikali hii yetu ,wewe mwenyewe mbunge,alafu ni waziri,nani atakaye muhoji mwenzake sasa?
 
hivi hawa wanawezaje?natazama tv hapa pm wa italy kaunda serikali yenye mawaziri wote 16 wanataaluma hakuna mwanasiasa hata mmoja...hapa kwetu tunahangaika na midubwana kama akina wassira...ahghhhhh

Mkuu italy hakuna manuals. Ni technologies at work.
 
Back
Top Bottom